Akili za Nondo za Mbunge Musukuma Akiwashukia Vikali Wasomi Kushindwa Kufikiria Nje ya Degree Zao

Msukuma anasumbuliwa na kitu kinaitwa inferioty complex.Mara atafute PhD fake.Mara ,atuonyeshe magari mitandaoni.Mara atukane wasomi wakati yeye hana elimu yeyote.Huyo ni mtu fake .
Jamaa ana madini sana.... naungana na Musukuma 💯%%%

Labda kama wewe ni mwambe 😊😊🤓🤓🤓🤓
Joke🤣
 
Msukuma namkubali sana; isipokuwa sasa kuna kitu anatakiwa arekebishe, anataka kuelekea kwenye extremes

Kile kitendo cha kukaa kila mara anajitetea sana kuhusu elimu yake huku akiwaponda wasomi, kinakuwa ni too much kiasi kwamba kimeshaenda kwenye extremes, kiasi cha kumgeuza kuwa inferior kwa wasomi, badala ya kuwa superior kama alivyokuwa anatamani kuwa siku zote.

Alianza vizuri lakini kwa sasa anaonyesha kama hayuko vizuri sana; kwenye maswala haya ya usomi
 
Msukuma yupo vizuri sana! Jamaa ana point ,wasomi ndiyo wanaotufelisha ,hawana lolote zaidi ya kusaini 10% kwa kuleta porojo za michakato ,upembuzi yakinifu ,usanifu wa kina ,risk accessment kote huko ni wizi wizi wizi tu.
 
Ndio maana The late JPM alikua anafanya FAULO nyingi sababu ya hizo milolongo mirefu.....😊😊😊😊😊😊😊
 
H
Jamaa ana madini sana.... naungana na Musukuma 💯%%%

Labda kama wewe ni mwambe 😊😊🤓🤓🤓🤓
Joke🤣
Jamaa ana madini sana.... naungana na Musukuma 💯%%%

Labda kama wewe ni mwambe 😊😊🤓🤓🤓🤓
Joke🤣
Sidhani Kama ana madini.Mwenye madini bungeni Ni Prof Muhongo.Mufuatilie kwa makini.Huyu ana kitu .Ni mpiga kelele tu.
 
WE SI NI KM YEYE UNAJULIKANA. mnajisifu kwa ujinga, kinachomsumbua Musukuma ni inferiority complex. Sasa km alikuwa kilaza darasani anamlalamikia nani. Yule ni akili ndogo, nashangaa waliomchagua wanafananaje, ila sishangai kwa wananchi wa Geita, wengi ni wajinga ndio hao wanauana kila siku. Angejaribu kwenye majimbo ya watu wasomi na waelewa hata udiwani asingepata walahi. Wacha wafu wazike wafu wenzao.
 
I appreciate prof. Muhongo "Geologist"
Ila
Alipewa wizara ya Madini wote tunajua kilicho tokea Dkt.Musukuma na Prof. Kishimba wanamawazo ya tofaut sana....

Leo hii tunazalisha degree za MAKARATASI ambazo zinashindwa kitukomboa kifikra....

Nimemfuatilia Lemutuz na American spirit yake still tuna safar ndefu sana kama Taifa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Tanzania itajengwa na Watanzania wazalendo
 
I appreciate prof. Muhongo "Geologist"
Ila
Alipewa wizara ya Madini wote tunajua kilicho tokea Dkt.Musukuma na Prof. Kishimba wanamawazo ya tofaut sana....

Leo hii tunazalisha degree za MAKARATASI ambazo zinashindwa kitukomboa kifikra....

Nimemfuatilia Lemutuz na American spirit yake still tuna safar ndefu sana kama Taifa [emoji1241][emoji1241][emoji1241]

Tanzania itajengwa na Watanzania wazalendo
Huyu jamaa ana mabasi yake ya Mwanza to Geita,aisee sijui yalikuwa malori Yale akabadilisha kuwa Mabasi.
Huyo ni tapeli tu kama matapeli wengine,sema amejificha kwenye suti!
 
WE SI NI KM YEYE UNAJULIKANA. mnajisifu kwa ujinga, kinachomsumbua Musukuma ni inferiority complex. Sasa km alikuwa kilaza darasani anamlalamikia nani. Yule ni akili ndogo, nashangaa waliomchagua wanafananaje, ila sishangai kwa wananchi wa Geita, wengi ni wajinga ndio hao wanauana kila siku. Angejaribu kwenye majimbo ya watu wasomi na waelewa hata udiwani asingepata walahi. Wacha wafu wazike wafu wenzao.
Jikite kwenye hoja yake,watu wenye vi degree ni wajinga sana Huwa hamna akili za kufikiria Nje ya degree zenu.
 
Huyu jamaa ana mabasi yake ya Mwanza to Geita,aisee sijui yalikuwa malori Yale akabadilisha kuwa Mabasi.
Huyo ni tapeli tu kama matapeli wengine,sema amejificha kwenye suti!
Tuuma nzito ikiitajika kuthibitisha hizi tuuma nzito utazi thibitisha......au ndiyo zile siasa za maji safi na taka.......

No beef mkuu
 
Msukuma ana haki wasomi wazibebe chagizo na changamoto za msukuma kama chachu ya kujikosoa na kuboresha haina mjadala wawe positive tu na uchokozi wa msukuma ni wenye afya tu. Ukiwa liberal and critical thinker huwezi chukizwa na msukuma hata siku moja you ought to improve his ideas.
 
Msukuma anasumbuliwa na kitu kinaitwa inferioty complex.Mara atafute PhD fake.Mara ,atuonyeshe magari mitandaoni.Mara atukane wasomi wakati yeye hana elimu yeyote.Huyo ni mtu fake .
Ila ana pesa

Pesa ndo ya muhimu duniani, ukiugua Pesa ndo itakuokoa
 
Back
Top Bottom