Akili za Nondo za Mbunge Musukuma Akiwashukia Vikali Wasomi Kushindwa Kufikiria Nje ya Degree Zao

Hakunaga usomi wa heshima Duniani. Musukuma hata apige kelele namna gani, atabaki kuwa standard 7 leaver hata anunue makaratasi mangapi kutoka predator Universities hapa Duniani
 
Degree zimemuathiri msukuma kisaikolojia

Kila akihojiwa yeye ni degree tu,mara wasomi atafutiwe mwanasaikolojia ampe msaada wa kisaikolojia 😂😂
 
Hakunaga usomi wa heshima Duniani. Musukuma hata apige kelele namna gani, atabaki kuwa standard 7 leaver hata anunue makaratasi mangapi kutoka predator Universities hapa Duniani
Huna hoja Wala hadhi ya kumshinda
 
Msukuma anasumbuliwa na kitu kinaitwa inferioty complex.Mara atafute PhD fake.Mara ,atuonyeshe magari mitandaoni.Mara atukane wasomi wakati yeye hana elimu yeyote.Huyo ni mtu fake .
Msukuma ni mpambanaji ila bado ni mjinga pia!
 
Kongole kwako.
 
Ukienda hosp unatibiwa na akina nani?
Natibiwa na watumishi wenzangu nadhan id yangu inajieleza,, lkn ukwel hatuwezi kuacha kuusema ukwel elimu yetu ni tia maji tia maji sana,,,, tuna UDSM, UDOM, SUA, MUST nk hebu taja basi tumegundua nn kupitia wasomi tuliozalisha kutoka hivi vyuo? Ukiwa mtaani utajua miswaki, wembe, ndala, baiskeli nk vyote made in China na nchi zingine

Japo sayansi yote Duniani imecopy ma kupast (sayansi ipo kwenye hivi vitu vitatu WAVES, MAGNETIC na LIGHT) vitu ambavyo vipo in natural najua unajua jinsi kupwa na kujaa kwa maji kunatokea kutokana na mvutano wa mwezi na dunia (magnetic)

Ila sisi bado sana,,,,,, Tuseme ukwel tusifiche fiche
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…