Akili za Wakongo zipo wapi?

Akili za Wakongo zipo wapi?

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
14,478
Reaction score
18,341
Hawa wajomba, wanaenda kujaa kwa fally ipupa mil 65, mpaka wakafa 1500.

Walikua wanagombea kuzama ukumbini au wako kati.

Haya usiulize, nishahudhuria Diamond jubilee, Silent inn, leaders sana tu acha huko duniani.

Hawa jamaa hawa, sasa kinachonisikitisha wananapiga makelele tu wanaonewa tu na kanchi kana watu mil 2-3.

Na ubabe wao wameenda kuiba ubalozini huko Goma, Kivu.

Shutumu yao Ni Rwanda anawapiga.

Mnashindwa nini nyie siafu mil 100 kwenda kwenye mil 3 mkawachape?

Ni watu ambao wamejiachia sana kwasababu ya ujinga ujinga tu.vita haihitaji lelelemama.

Mi mdau wa muziki sana congo.
Hapa concert wamecheza jana tu Werra huyo
Ferre gola kesho anaamsha
Heritier wata kashamaliza wiki iliyopita.

Na humo mnajazana mpk Isiba ukitaka kukojoa sa si wanywa bia utafika sa ngapi chooni?

Watu 100 000,000, wakishika mawe tu, na manati kwa watu mil 3 hakyanani wanafuta hata ramani.

Ni kama kwetu hapa, Panya road wakiinga mtaa na mapanga yao utakuta libaba lina miaka 50+ ndambi hilo linaambiwa lala chini linalala mkewe anabakwa hapo.

Aisee fanyeni sana mazoezi, swala la hawa ndugu zetu ni kuzoea amani sana na kujipenda, vita si vitu vyao.

Kuna huyo anajiita Nyoshi anasema habadilishagi nguo, akivaa anatupa.

Kwa hizi elfu 5 si tunalipa mlangoni?

Na kuna siku niliwakuta darini ye na wenzake kule stereo. Walikua wametambaa.

Sasa hawa watu utategemea watapigania nchi yao?

Wacha wasaidiwe tu.
 
1738488653124.png
 
Back
Top Bottom