Japo inategemeana mtu na mtu, kwa wastani Darasa la saba na form 4 wengi wala hawana shida ukiwaweka dukani,
Shida inakuja uwaweke waliosoma vyuoni, yani hata awe kasomea kozi ya secretary ni shida sana, mwanzoni mnakubaliana vizuri kabisa mshahara, day allowance, muda wa kufika, n.k. lakini wacha akae hata mwezi tu akisahayasoma mazingira.

- Unaweza kuustukia duka lako umepangisha frem ya bure nae analeta mzigo wake
- bei unamuelekeza aanzie kiasi flani yeye anaanzia juu sana na akiuza anarekodi bei yakupunguziwa
- mlishakubaliana atoke muda fulani ila yeye anawahi kuondoka
- Kuanza kutengeneza mazingira ya kujitetea mshahara haumtoshi