Akili za wanawake, inashangaza zinavyofanya kazi!

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
400
Reaction score
1,429
yaani anahitaji boyfriend awe na miaka 25,awe na gari, nyumba, kazi ya maana, iPhone ya mwisho,awe handsome, awe na ndevu zilizo mkaa vizuri , awe na pesa ,awe na muda wa kuwa anachati nae muda wote na pia awe mcha Mungu.

Yaani mtu mmoja abebe sifa na tabia za watu saba🤔
 
Halafu yeye ana nini? Potassium tu ndiyo masharti kama unaomba VISA ya America?
 
Mkuu mbona una hasira
Hata sina hasira mkuu, hawa viumbe akili zao ndo zipo hivyo,..

Kuna demu mmoja alinivimbia sana, mara ohhh hela zako za kuunga unga, mara huna lolote, haikupita hata wiki tatu akaugua ghafla hoi ,

mtu wa Kwanza kupigiwa simu na mama yake ilikuwa ni mimi anaomba msaada wa pesa ya kumpeleka hostipali mtoto wake, mama ake nikamwambia alinitukana sana huyo leo mnaomba msaada tena?? ,

Mama ake akaniomba msahama kama mtoto vile, tukampeleka hospitali, akalazwa kama siku tatu hivi ndo akaluhusiwa, na bill zote nikamulipia.

Kuazia siku hiyo, akiniona tu huwa ananisalimia shikamo kaka. 😂😂😂😂
 
yaani anahitaji boyfriend awe na miaka 25,awe na gari, nyumba, kazi ya maana, iPhone ya mwisho,awe handsome, awe na ndevu zilizo mkaa vizuri , awe na pesa ,awe na muda wa kuwa anachati nae muda wote na pia awe mcha Mungu.

Yaani mtu mmoja abebe sifa na tabia za watu saba🤔
Na hapo hapo utakuta baba yake ni mzee 50+ ila bado anakwea daladala. Huwa hawana uwezo wa kufikiria.
 
Hata sina hasira mkuu, hawa viumbe akili zao ndo zipo hivyo,..

Kuna demu mmoja alinivimbia sana, mara ohhh hela zako za kuunga unga, mara huna lolote, haikupita hata wiki tatu akaugua ghafla hoi ,

mtu wa Kwanza kupigiwa simu na mama yake ilikuwa ni mimi anaomba msaada wa pesa ya kumpeleka hostipali mtoto wake, mama ake nikamwambia alinitukana sana huyo leo mnaomba msaada tena?? ,

Mama ake akaniomba msahama kama mtoto vile, tukampeleka hospitali, akalazwa kama siku tatu hivi ndo akaluhusiwa, na bill zote nikamulipia.

Kuazia siku hiyo, akiniona tu huwa ananisalimia shikamo kaka. 😂😂😂😂
Mkuu alikutukana na hado ukamlipia? Inaonekana amekushikia akili
 
Kibongo bongo ngumu hiyo, watu wako na forty na bado Hali ni mbaya, hata wanaotarajiwa kurithi Mali Kwa umri hao wako na Baba zao wanajitafuta.
 
Akili za hovyo kabisa anyway nakuwaga tajiri kwa siku moja, nakodi mjengo wa maana, bila kusahau gari kali, nabadili nguo mara mia, napiga picha afumoja za mwaka mzima then nageuza zangu mahome kibanda umiza, kisha naachia mojamoja kila siku nasubiri wakuje PM niwapangie sehemu ya kwenda kuwachakata.
 
Back
Top Bottom