Akili za wanawake, inashangaza zinavyofanya kazi!

Akili za hovyo kabisa anyway nakuwaga tajiri kwa siku moja, nakodi mjengo wa maana, bila kusahau gari kali, nabadili nguo mara mia, napiga picha afumoja za mwaka mzima then nageuza zangu mahome kibanda umiza, kisha naachia mojamoja kila siku nasubiri wakuje PM niwapangie sehemu ya kwenda kuwachakata.
umetisha mkuu nimevunja mbavu kinoma
 
Mtu anakutajia vitu vyote hivyo wakati kaka zake wenyewe hawana hata kimojawapo

Na ndo maana Siku hizi ni rahisi Sana kumkuta mwanamke ana miaka 27+ na bado yupo kwa wazazi anasubiri mwanaume atakayekidhi vigezo vyake
 
Akili za hovyo kabisa anyway nakuwaga tajiri kwa siku moja, nakodi mjengo wa maana, bila kusahau gari kali, nabadili nguo mara mia, napiga picha afumoja za mwaka mzima then nageuza zangu mahome kibanda umiza, kisha naachia mojamoja kila siku nasubiri wakuje PM niwapangie sehemu ya kwenda kuwachakata.
Mzee Una mbinu kali Sana aisee😂
 
Hilo lilikuwa chaguo la mama. Si vyema makosa yakajirudia🤣🤣
Aaze kupambana yeye kwanza ili apate vibunda, kisha atafute mwanaume maskini then waoane.... 😄😄
 
Si vyema kurudia makosa, Lazima aolewe na mume tajiri. Hakuna mume masikini, huyo ni msindikizaji tu wa maisha🤣🤣
 
Back
Top Bottom