Halafu yeye ana nini? Potassium tu ndiyo masharti kama unaomba VISA ya America?yaani anahitaji boyfriend awe na miaka 25,awe na gari, nyumba, kazi ya maana, iPhone ya mwisho,awe handsome, awe na ndevu zilizo mkaa vizuri , awe na pesa ,awe na muda wa kuwa anachati nae muda wote na pia awe mcha Mungu.
Yaani mtu mmoja abebe sifa na tabia za watu sabaπ€
Mkuu mbona una hasiraUkute kwao wanalala baba, mama, na wototo chumba kimoja, pazia tu ndo inawatenganisha. πππ.
Akili za wanawake ni bogus kabisa.
Hata sina hasira mkuu, hawa viumbe akili zao ndo zipo hivyo,..Mkuu mbona una hasira
Na hapo hapo utakuta baba yake ni mzee 50+ ila bado anakwea daladala. Huwa hawana uwezo wa kufikiria.yaani anahitaji boyfriend awe na miaka 25,awe na gari, nyumba, kazi ya maana, iPhone ya mwisho,awe handsome, awe na ndevu zilizo mkaa vizuri , awe na pesa ,awe na muda wa kuwa anachati nae muda wote na pia awe mcha Mungu.
Yaani mtu mmoja abebe sifa na tabia za watu sabaπ€
Mkuu alikutukana na hado ukamlipia? Inaonekana amekushikia akiliHata sina hasira mkuu, hawa viumbe akili zao ndo zipo hivyo,..
Kuna demu mmoja alinivimbia sana, mara ohhh hela zako za kuunga unga, mara huna lolote, haikupita hata wiki tatu akaugua ghafla hoi ,
mtu wa Kwanza kupigiwa simu na mama yake ilikuwa ni mimi anaomba msaada wa pesa ya kumpeleka hostipali mtoto wake, mama ake nikamwambia alinitukana sana huyo leo mnaomba msaada tena?? ,
Mama ake akaniomba msahama kama mtoto vile, tukampeleka hospitali, akalazwa kama siku tatu hivi ndo akaluhusiwa, na bill zote nikamulipia.
Kuazia siku hiyo, akiniona tu huwa ananisalimia shikamo kaka. ππππ