Akili za wanawake, inashangaza zinavyofanya kazi!

umetisha mkuu nimevunja mbavu kinoma
 
Mtu anakutajia vitu vyote hivyo wakati kaka zake wenyewe hawana hata kimojawapo

Na ndo maana Siku hizi ni rahisi Sana kumkuta mwanamke ana miaka 27+ na bado yupo kwa wazazi anasubiri mwanaume atakayekidhi vigezo vyake
 
Mzee Una mbinu kali Sana aisee😂
 
Hilo lilikuwa chaguo la mama. Si vyema makosa yakajirudia🤣🤣
Aaze kupambana yeye kwanza ili apate vibunda, kisha atafute mwanaume maskini then waoane.... 😄😄
 
Aaze kupambana yeye kwanza ili apate vibunda, kisha atafute mwanaume maskini then waoane.... 😄😄
Si vyema kurudia makosa, Lazima aolewe na mume tajiri. Hakuna mume masikini, huyo ni msindikizaji tu wa maisha🤣🤣
 
Usisahau
Wanakwambia
Awe mrefu mweusi alafu wanataka mtoto mweupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…