CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,139
Tukiendelea na filamu yetu ya Royal tour,
Hebu niwape kisa kimoja kilichofanya Leo niandike kuhusu huku kukatika kwa umeme,
Mwaka 2001 nilibahatika kufanya kazi kama mashine operator kwenye kiwanda Cha mkonge,
Kwa Sababu ambazo sikuelewa pale kiwandani hapakua na Auto Generator ambalo lingeweza kuwaka lenyewe bila kuwashwa pindi umeme wa grid ukikata hivyo jukumu letu Mimi na Mwenzangu pamoja na majukumu Mengine ilikua ni kuhakikisha Generator linawaka angalau nusu saa baada ya umeme kukatika,
Basi kulikua na mafuta kwa ajili ya zoezi Hilo,
Hata hivyo kipindi Cha mwanzo nilikua nawahi kuwasha Generator siku nyingine Hata dakika 10 tu baada ya umeme kukatika!
Siku Moja umeme ulikatika na kama Kawa nikatoka kwa spidi kwenda kwenye mitambo,
Ghafla bosi wangu (sitamtaja jina)
Alinikamata mkono!!
'wewe Si ulikua unaniomba elfu 20 muda huu?"
Mimi : ndio ,
Yeye: sasa unawahi wapi? Kaa hapa!
Basi nikarudi kukaa kitini na tukavuta masaa mawili!!
Mpaka simu zilipoanza kumiminika jamaa akaniambia nikawashe!!
Sikuelewa lakini kesho yake asubuhi aliniletea elf 25!!
Basi baada ya muda nilielewa Somo!
Kila muda unaochelewa kuwasha Generator basi ni mali!!
Na siku nyingine akiishiwa kabisa huwa anazima kabisa umeme!!
Basi Leo nikakumbuka tu hiki kisa
Je Tanesco wanapokuwa wamezima umeme wao kwa muda Fulani je hakuna watu wananufaika kweli??