Akili zetu wanaume zinatutosha wenyewe, we acha tu!

Akili zetu wanaume zinatutosha wenyewe, we acha tu!

Ni hulka yetu, hakuna mtu anayefurahia dadayake kufanyiwa hiyo kitu.

Kwa kiasi fulani tunasaidia kuwalinda dada zetu,

Na hiyo ndiyo sifa kuu ya mwanaume...kutoa ulinzi kwa watu walio chini ya himaya yake...

Labda tatizo ni kuwa too protective hadi tunawarushia ndege wao!!
 
Jaman mie nahisi sijui ndio maumbile au vp,
Mie ilinitokea hivi;Kwetu hatuna kaka mkubwa kaka yetu ni mdogo wangu wa pili asa siku moja akanikuta natoka church niko na mkaka tunatembea njian tunaongea alipotufikia akanisalimia akamsalimia na yule mkaka alafu eti akasimama akamcheki kiaina alafu akaondoka kumbe kaenda kusimama mahali mie nipokatiza njia ya kwenda hm na yule kaka akaondoka zake kumbe eti alimfata yule kaka na kuanza kumhoji kuhusu mie yule kaka akamwelewesha kuwa ss ni marafiki tu,eti mdogo wangu akamwambia acheze mbali na mie lol!

N
ilipojua nilimwita mdogo wangu nikaongea naye kwa upendo na kumshukuru kwa kunijali na kumtoa wasiwasi kuwa niko makin sana na kwa umri nilionao namudu kupambana na wanaume kwa hiyo asiwe anaingilia kwa namna yoyote nitakapo hitaji msaada wake basi nitamwambia,akanielewa natangu siku hiyo wala hana habari hata akiniona na mtu.

Mshukuru Mungu kwamba huyo mdogo wako ni mwelewa,

Vinginevyo angeweza kwenda kwa dingi akiangua kilio na mikono juu ya kichwa, huku akiomboleza kuwa dada yake amekuwa cha wote!!
 
In most cases Wanaume wengi wana tabia za Kishenzi... Na wanajuana as men kua wanatabia za kishenzi hasa katika kukamilisha haja zao za miili. Ni mengi wanaume hufanyia mabinti/dada/mama wa wenzao bila kujale end result ya huyo mwanamke husika - wakijipa moyo kua haiwahusu.

Ndio maana weengi huumia saana wanapogundua dada/mtoto/mama yao anatoka na mwanaume fulani (hasa kama huyo mwanaume haeleweki in a man's perspective world). That is why most fathers wako soooo protective wa watoto wao wa Kike... yaani hujaribu kwa kila njia aweze timiza kila kitu ili mtoto wake yasimpate yale ambayo hata yeye mwenyewe hufanya kwa watoto wa wenzie.... BUT kama inavojulikana dunia haiendi hivo.... What goes around comes back around, na kila mla cha wenzie... chake pia huliwa.

Hapo kwenye red! nafikiri ndivyo ilivyopaswa kuwa.
 
Mshukuru Mungu kwamba huyo mdogo wako ni mwelewa,

Vinginevyo angeweza kwenda kwa dingi akiangua kilio na mikono juu ya kichwa, huku akiomboleza kuwa dada yake amekuwa cha wote!!
Raha moja ananijua dada yake sio wa hivyo ndio maana alipata wakati mgumu kwa mara yake ya kwanza kuniona naongea na mwanaume njian ndio maana aliamua kuchukua hatua mara moja,na ndio maana ikawa rahisi kwake kunielewa.
 
mimi nimewahi kwenda 'out' kwenye first date mdada akiwa amesindikizwa na kaka yake
twice......tulikaa wote bar na kunywa na story kama kawaida...halafu mida mida kaka mtu akatuacha tu peke yetu

Kaka alikuja kuhakikisha usalama wa dada yake; alipoona unaelekea akakuachia ujinafasi. safi sana!

Si vibaya wakaka kuwachunga dada zao kwa lengo la kuwalinda wasiharibikiwe kimaisha. busara na hekima ya hali juu inapaswa itumike.
 
Me sitokuwa na uchungu kuona dada yangu anabanjuliwa, sasa asipobanjuliwa ni mimi ndio wa kumbanjua au??Yeah ni sawa tu akabanjuliwe sema ajali afya yake ukimwi mwingi now...

unajua kilichoko moyoni mwako kamanda na wala siwezi kuusemea moyo wako
 
In most cases Wanaume wengi wana tabia za Kishenzi... Na wanajuana as men kua wanatabia za kishenzi hasa katika kukamilisha haja zao za miili. Ni mengi wanaume hufanyia mabinti/dada/mama wa wenzao bila kujale end result ya huyo mwanamke husika - wakijipa moyo kua haiwahusu.

Ndio maana weengi huumia saana wanapogundua dada/mtoto/mama yao anatoka na mwanaume fulani (hasa kama huyo mwanaume haeleweki in a man's perspective world). That is why most fathers wako soooo protective wa watoto wao wa Kike... yaani hujaribu kwa kila njia aweze timiza kila kitu ili mtoto wake yasimpate yale ambayo hata yeye mwenyewe hufanya kwa watoto wa wenzie.... BUT kama inavojulikana dunia haiendi hivo.... What comes around comes back around, na kila mla cha wenzie... chake pia huliwa.

Ila sasa shangazi nini kifanyike maana hii hali inazidi kuongezeka ktk jamii, yaani watoto wakiume wamegeuka kuwa mgambo wa kuwalinda dada zao. Tufanye nini ili jamii iondokane na hii tabia ya kudhalilishana kati ya boys na dada zao. Maana ni aibu tu kwa jinsi tukio zima lilivyotokea!
 
mimi nimewahi kwenda 'out' kwenye first date mdada akiwa amesindikizwa na kaka yake
twice......tulikaa wote bar na kunywa na story kama kawaida...halafu mida mida kaka mtu akatuacha tu peke yetu

huo ni ustaarabu ninaoutaka kuona boys wakiuonyesha mbele za dada zao na hapo kunakuwa na really sense of respect lakini sio huku kuaibishana, kila mtu anajua kuwa.....Jane is still keeping those........the moment anapokaripiwa na kakake
 
Wanaume tuna akili finyu when it comes to love business, ndio maana yanaoa mtu ameshazaa halafu linajidai "mke wangu, je aliyemzalisha!!

aisee we hamnazo kweli, tena sio kidogo
 
Ni hulka yetu, hakuna mtu anayefurahia dadayake kufanyiwa hiyo kitu.

ila wewe unapenda kufanya hiyo starehe, iweje ujisikie vibaya yeye kupewa hiyo starehe na mwanaume wake?
 
Kuna kijana mmoja alikuwa ananitaka, siku hiyo akaja home na kumuomba kaka yangu aniite mimi (ila sikuwepo home), kaka akamuuliza wa nini? Akajibu ni rafiki yangu nataka niiongee nae (kaka alihisi ananitaka kimapenzi). Kaka akaingia ndani akatoka na bonge la panga, akamkimbiza na panga hadi karibu na kwao, tokea siku hiyo ananiogopa km nini hata akiniona anapita mbali!

Pole usikute umepotezewa mwenzi wa ukweli maishani, maana kumfuata mtu kwao ni courage ya hali ya juu na ni ishara ya mtu kupenda kweli si unaona risk alizokutana nazo. hebu siku moja muulize alikuwa na shida gani, huenda woga wake ni sababu ya aibu alopewa na bro wako
 
Jaman mie nahisi sijui ndio maumbile au vp,
Mie ilinitokea hivi;Kwetu hatuna kaka mkubwa kaka yetu ni mdogo wangu wa pili asa siku moja akanikuta natoka church niko na mkaka tunatembea njian tunaongea alipotufikia akanisalimia akamsalimia na yule mkaka alafu eti akasimama akamcheki kiaina alafu akaondoka kumbe kaenda kusimama mahali mie nipokatiza njia ya kwenda hm na yule kaka akaondoka zake kumbe eti alimfata yule kaka na kuanza kumhoji kuhusu mie yule kaka akamwelewesha kuwa ss ni marafiki tu,eti mdogo wangu akamwambia acheze mbali na mie lol!

Nilipojua nilimwita mdogo wangu nikaongea naye kwa upendo na kumshukuru kwa kunijali na kumtoa wasiwasi kuwa niko makin sana na kwa umri nilionao namudu kupambana na wanaume kwa hiyo asiwe anaingilia kwa namna yoyote nitakapo hitaji msaada wake basi nitamwambia,akanielewa natangu siku hiyo wala hana habari hata akiniona na mtu.

hebu imagine kama huyo ndo angekuwa mumeo, pangechimbika hapo usiku kucha!
 
mimi nimewahi kwenda 'out' kwenye first date mdada akiwa amesindikizwa na kaka yake
twice......tulikaa wote bar na kunywa na story kama kawaida...halafu mida mida kaka mtu akatuacha tu peke yetu

Huyo kaka kiboko, mpe hongera zangu!
 
aisee we hamnazo kweli, tena sio kidogo
nimejiuliza kwahyo pia wanaume waliozaa na wanawake ambao sio wake zao,hao women watawaitaje hao wanaume?and sijui hajui maana ya mke na mume!
 
nimejiuliza kwahyo pia wanaume waliozaa na wanawake ambao sio wake zao,hao women watawaitaje hao wanaume?and sijui hajui maana ya mke na mume!
hayo tena nimakusudi
 
Nadhani kaka yule alikuwa 'zoba' fulani hivi! Yaani mwanaume unamsindikiza dada yako ili akapate mshedede!
ndio zenu madai mnasema eti dada yako akiliwa na ww unakula vya shemeji,unafikili anavyomsindikiza anafata nini?anasubili aonane na shemeji si anajua akimsalimia atapewa ata cha soda,au usiende kusema hme alafu dada akirudi atarudi na zawadi hasa money.
 
Back
Top Bottom