Akili zetu wanaume zinatutosha wenyewe, we acha tu!

Ni hulka yetu, hakuna mtu anayefurahia dadayake kufanyiwa hiyo kitu.

Kwa kiasi fulani tunasaidia kuwalinda dada zetu,

Na hiyo ndiyo sifa kuu ya mwanaume...kutoa ulinzi kwa watu walio chini ya himaya yake...

Labda tatizo ni kuwa too protective hadi tunawarushia ndege wao!!
 
Mshukuru Mungu kwamba huyo mdogo wako ni mwelewa,

Vinginevyo angeweza kwenda kwa dingi akiangua kilio na mikono juu ya kichwa, huku akiomboleza kuwa dada yake amekuwa cha wote!!
 
Hapo kwenye red! nafikiri ndivyo ilivyopaswa kuwa.
 
Mshukuru Mungu kwamba huyo mdogo wako ni mwelewa,

Vinginevyo angeweza kwenda kwa dingi akiangua kilio na mikono juu ya kichwa, huku akiomboleza kuwa dada yake amekuwa cha wote!!
Raha moja ananijua dada yake sio wa hivyo ndio maana alipata wakati mgumu kwa mara yake ya kwanza kuniona naongea na mwanaume njian ndio maana aliamua kuchukua hatua mara moja,na ndio maana ikawa rahisi kwake kunielewa.
 
mimi nimewahi kwenda 'out' kwenye first date mdada akiwa amesindikizwa na kaka yake
twice......tulikaa wote bar na kunywa na story kama kawaida...halafu mida mida kaka mtu akatuacha tu peke yetu

Kaka alikuja kuhakikisha usalama wa dada yake; alipoona unaelekea akakuachia ujinafasi. safi sana!

Si vibaya wakaka kuwachunga dada zao kwa lengo la kuwalinda wasiharibikiwe kimaisha. busara na hekima ya hali juu inapaswa itumike.
 
Me sitokuwa na uchungu kuona dada yangu anabanjuliwa, sasa asipobanjuliwa ni mimi ndio wa kumbanjua au??Yeah ni sawa tu akabanjuliwe sema ajali afya yake ukimwi mwingi now...

unajua kilichoko moyoni mwako kamanda na wala siwezi kuusemea moyo wako
 
Ila sasa shangazi nini kifanyike maana hii hali inazidi kuongezeka ktk jamii, yaani watoto wakiume wamegeuka kuwa mgambo wa kuwalinda dada zao. Tufanye nini ili jamii iondokane na hii tabia ya kudhalilishana kati ya boys na dada zao. Maana ni aibu tu kwa jinsi tukio zima lilivyotokea!
 
mimi nimewahi kwenda 'out' kwenye first date mdada akiwa amesindikizwa na kaka yake
twice......tulikaa wote bar na kunywa na story kama kawaida...halafu mida mida kaka mtu akatuacha tu peke yetu

huo ni ustaarabu ninaoutaka kuona boys wakiuonyesha mbele za dada zao na hapo kunakuwa na really sense of respect lakini sio huku kuaibishana, kila mtu anajua kuwa.....Jane is still keeping those........the moment anapokaripiwa na kakake
 
Wanaume tuna akili finyu when it comes to love business, ndio maana yanaoa mtu ameshazaa halafu linajidai "mke wangu, je aliyemzalisha!!

aisee we hamnazo kweli, tena sio kidogo
 
Ni hulka yetu, hakuna mtu anayefurahia dadayake kufanyiwa hiyo kitu.

ila wewe unapenda kufanya hiyo starehe, iweje ujisikie vibaya yeye kupewa hiyo starehe na mwanaume wake?
 
Pole usikute umepotezewa mwenzi wa ukweli maishani, maana kumfuata mtu kwao ni courage ya hali ya juu na ni ishara ya mtu kupenda kweli si unaona risk alizokutana nazo. hebu siku moja muulize alikuwa na shida gani, huenda woga wake ni sababu ya aibu alopewa na bro wako
 
hebu imagine kama huyo ndo angekuwa mumeo, pangechimbika hapo usiku kucha!
 
mimi nimewahi kwenda 'out' kwenye first date mdada akiwa amesindikizwa na kaka yake
twice......tulikaa wote bar na kunywa na story kama kawaida...halafu mida mida kaka mtu akatuacha tu peke yetu

Huyo kaka kiboko, mpe hongera zangu!
 
Wanaume tuna akili finyu when it comes to love business, ndio maana yanaoa mtu ameshazaa halafu linajidai "mke wangu, je aliyemzalisha!!

hapo kwenye bolded umeboronga mbaya....waseme kivingine sio hiyo aisee
 
aisee we hamnazo kweli, tena sio kidogo
nimejiuliza kwahyo pia wanaume waliozaa na wanawake ambao sio wake zao,hao women watawaitaje hao wanaume?and sijui hajui maana ya mke na mume!
 
nimejiuliza kwahyo pia wanaume waliozaa na wanawake ambao sio wake zao,hao women watawaitaje hao wanaume?and sijui hajui maana ya mke na mume!
hayo tena nimakusudi
 
Nadhani kaka yule alikuwa 'zoba' fulani hivi! Yaani mwanaume unamsindikiza dada yako ili akapate mshedede!
ndio zenu madai mnasema eti dada yako akiliwa na ww unakula vya shemeji,unafikili anavyomsindikiza anafata nini?anasubili aonane na shemeji si anajua akimsalimia atapewa ata cha soda,au usiende kusema hme alafu dada akirudi atarudi na zawadi hasa money.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…