mzee wa ngada
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 693
- 293
Nguvu hana basi hata mkwala..watu wanaogopa wasije fanyiwa science
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguvu hana basi hata mkwala..watu wanaogopa wasije fanyiwa science
Mzee Kigagula huyo balaa.. Baada atulie analeta manenoHuyu mzee ni jabari huwa hachezewi ovyo na uanachama hawawezi kumvua anaetaka,kumvua aanze yeye asiwasingizie wenzie wakatangulia familia zao zipate shida bure..
Umeona eeh! Lakini tafadhali usishangilie Aseno (Arsenal), huko nako si salama sana kwa maisha yako.Mambo haya ndiyo yalinifanya niache kuishabikia Yanga pamoja na hizi timu zetu za 'kiswahili'. Kwa kauli hizi zinanisaidia kuendelea kuamini kuwa maamuzi yangu ya kuachana na upenzi wa hizi timu yalikuwa ni sahihi!
una matatizo wewe! au leo ulinyimwa katerero nini? acha ujinga wewe mlangila weweMfate nyumbani kwake ukamuulize...
umeniboa kwa kiasi fulaniUoga ni dhambi mfate kwake hahaha
Nilikuwa najenga mapenzi kwa timu kama Toto Afrika lakini nikaja kugundua eti nao wanajiita tawi la hawa manyang'au wa mpira. Najaribu kwa Lipuli sasa maana upenzi wa game ninao lakini tatizo ni jinsi linavyoendeshwa. Ndio maana juzi nilikuwa maangali michezo ya majeshi Kigali (Soccer TZ-Kenya) na ilinivutia zaidi kuliko kuangalia hizi so called timu!Umeona eeh! Lakini tafadhali usishangilie Aseno (Arsenal), huko nako si salama sana kwa maisha yako.
Huyo siyo maneno tu huwa anamaanisha muulizeni ManjiMzee Kigagula huyo balaa.. Baada atulie analeta maneno
Mambo haya ndiyo yalinifanya niache kuishabikia Yanga pamoja na hizi timu zetu za 'kiswahili'. Kwa kauli hizi zinanisaidia kuendelea kuamini kuwa maamuzi yangu ya kuachana na upenzi wa hizi timu yalikuwa ni sahihi!
Wewe jana ulikwenda kwake?
Hizi ni mikwara tu! Kwanini nasema hivyo?
Siku moja kabla hajahojiwa na kituo cha Efm radio baadhi ya wanachama wa Yanga SC walimfuata kwake maeneo ya tandale majira ya saa 11 Jioni, baada ya kupata taarifa kuwa Mashabiki wa Yanga wamemfuata kwake basi ikabidi aongee na uongozi wa msikiti mkuu wa Tandale ili japo apate kulala mahala pale kwa siku.
Asubuhi baada ya kujulishwa kuwa wale vijana wa Yanga waliondoka ndipo akaamua kurudi kwake.
Baada ya habari hizi kuenea kote, ndipo e fm aalimtafuta na kuanza kumfanyia mahojiano, ambapo alianza kwa kutoa vitisho kwa yeyote atakaye kuja kwake!
SWALI: Kama anajiamini na uchawi wake kwanini hakurudi kwake usiku ule, mpaka akalala msikitini?