Akilimali: Kama kuna mtu anataka kuiacha familia yake aje avamie nyumbani kwangu

hivi ndie mtunzi wa kile kitabu cha mashairi cha DIWANI YA AKILIMALI?
 
Mambo haya ndiyo yalinifanya niache kuishabikia Yanga pamoja na hizi timu zetu za 'kiswahili'. Kwa kauli hizi zinanisaidia kuendelea kuamini kuwa maamuzi yangu ya kuachana na upenzi wa hizi timu yalikuwa ni sahihi!
Umeona eeh! Lakini tafadhali usishangilie Aseno (Arsenal), huko nako si salama sana kwa maisha yako.
 
Natamani Yanga wazinduke na waachane na kupenda dezo. Kwa nini akina Manji na Dewji hawakuanzisha timu zao ili wapate faida bila kusumbuana na wanachama wengine.
 
Umeona eeh! Lakini tafadhali usishangilie Aseno (Arsenal), huko nako si salama sana kwa maisha yako.
Nilikuwa najenga mapenzi kwa timu kama Toto Afrika lakini nikaja kugundua eti nao wanajiita tawi la hawa manyang'au wa mpira. Najaribu kwa Lipuli sasa maana upenzi wa game ninao lakini tatizo ni jinsi linavyoendeshwa. Ndio maana juzi nilikuwa maangali michezo ya majeshi Kigali (Soccer TZ-Kenya) na ilinivutia zaidi kuliko kuangalia hizi so called timu!
 
Mambo haya ndiyo yalinifanya niache kuishabikia Yanga pamoja na hizi timu zetu za 'kiswahili'. Kwa kauli hizi zinanisaidia kuendelea kuamini kuwa maamuzi yangu ya kuachana na upenzi wa hizi timu yalikuwa ni sahihi!

Uko sahihi kabisa.....kushabikia hizi timu ni kupoteza muda tu. Mi nashangaa, yaani utakuta mtu kabisa na akili zake timamu anaongelea ujinga wa hizi timu wakati hazina chochote zaidi ya kuchawiana tu.
 
Hizi ni mikwara tu! Kwanini nasema hivyo?

Siku moja kabla hajahojiwa na kituo cha Efm radio baadhi ya wanachama wa Yanga SC walimfuata kwake maeneo ya tandale majira ya saa 11 Jioni, baada ya kupata taarifa kuwa Mashabiki wa Yanga wamemfuata kwake basi ikabidi aongee na uongozi wa msikiti mkuu wa Tandale ili japo apate kulala mahala pale kwa siku.

Asubuhi baada ya kujulishwa kuwa wale vijana wa Yanga waliondoka ndipo akaamua kurudi kwake.

Baada ya habari hizi kuenea kote, ndipo e fm aalimtafuta na kuanza kumfanyia mahojiano, ambapo alianza kwa kutoa vitisho kwa yeyote atakaye kuja kwake!

SWALI: Kama anajiamini na uchawi wake kwanini hakurudi kwake usiku ule, mpaka akalala msikitini?
 
Wewe jana ulikwenda kwake?
 
Back
Top Bottom