Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,616
100% acceptable nikipigwa mizinga baada ya ka-muda fulani, siyo eti very soon baada ya outing ya lunch unaongezea na mzinga wako, ina maana tusingekutana usingekarabati hizo nywele zako? inaboa kwa kweli!!!!!so ukipigwa mzinga baadae itakua sawa? kazi mnayo,ushapiga hesabu unatoa lunch, then unaanza ufumuzi! kaazi kweli!
umeona-eeh, mi ikishakuwa ivo nakubali kula hasara ya lunch tu basi! hela ya saluni hupati ng'o!ahhha kazi kwelli kweli
haliwi mtu bure hapa kizazi cha kinyonga hiki...ahhhha so funny kwa kweli
Yaani wanashangaza sana! hivi hawa madada huwa hawana washauri? naona kama huwa wanakuupuka halaf wanakosa kila kitu!....na mimi aliponiambia hivyo, nilimpiga chini immediately bila kujishauri mara mbili....kweli inaboa,mi ishanitokea mara kibao tu,kuna mtoto mmoja nilimuaproach akaniambia anamchumba ila yupo nje ya nchi,akasema yuko tayari kuwa na mimi ila nitambue ana mchumba,nami nikakubali nikijua baaa ya mda nitamkoreza na atamsahau tu huyo mchumba ake,baada kama ya wiki moja hivi nikamuomba tukutane ili tulizindue penzi letu,akaniambia mbn una haraka hivyo?basi mi nikawa mpole,lakini baada ya siku mbili yeye akaniambia anaomba nimpatie 15000 eti mwele akasuke kimasai nikamwambia kwa sasa sina,alichonijibu ni kwamba kama huwezi kuhudumia acha wanaweza kuhudumia watumie,nami nikampotezea,coz yeye kuduu alisema bado mapema nisiwe na haraka nikamsikiliza,lakini yeye anataka pesa mbon hakuona kama nae ni haraka
umeona-eeh, mi ikishakuwa ivo nakubali kula hasara ya lunch tu basi! hela ya saluni hupati ng'o!
Mi sipendi kabisa..Unakutana na mdada, mnafahamiana kidogo, mnapeana namba za simu, mnapanga one day mkutane mpate lunch, mnakutana na mnapata lunch, then mnapanga one day mkutane kufumua amri ya sita......Mara demu anakueleza,....oh...sitaki nije na hizi nywele kesho, hivyo naomba unipe hela ya saluni...Yaani hata hatuja-do, unataka nikupe hela ya saluni...umeona mi n ATM machine?! acheni hizo bana mnatuboa!
Ukionekana demu wa mizinga mwanzoni kabisa mwa mahusiano unaboa sana na unajidhalilisha. Kwa nini usijizuie mpaka mida fulani ndio uanze hiyo mizinga?! Mi ukianza na mizinga nakupiga chini! Acheni hizo madada, mnatuboa mno!!

Kamanda klorokwin ameishatoka lupango??wote mlikutana sio....
Kamanda klorokwin ameishatoka lupango??
Sasa kiongozi Michelle ndio uliamua kumfungia ndani asitoke kabisajeshi langu liko lupango? haiwezekani banaa