IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,578
- 7,774
kweli inaboa,mi ishanitokea mara kibao tu,kuna mtoto mmoja nilimuaproach akaniambia anamchumba ila yupo nje ya nchi,akasema yuko tayari kuwa na mimi ila nitambue ana mchumba,nami nikakubali nikijua baaa ya mda nitamkoreza na atamsahau tu huyo mchumba ake,baada kama ya wiki moja hivi nikamuomba tukutane ili tulizindue penzi letu,akaniambia mbn una haraka hivyo?basi mi nikawa mpole,lakini baada ya siku mbili yeye akaniambia anaomba nimpatie 15000 eti mwele akasuke kimasai nikamwambia kwa sasa sina,alichonijibu ni kwamba kama huwezi kuhudumia acha wanaweza kuhudumia watumie,nami nikampotezea,coz yeye kuduu alisema bado mapema nisiwe na haraka nikamsikiliza,lakini yeye anataka pesa mbon hakuona kama nae ni haraka
ahahahahaaaaaaaaaaa!..kamzinga ka vitoto vya shule za kata nako kakakutoa nduki mkuu,.....starehe gharama kiongozi wangu