Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua ni ajabu hii sredi imefika hapa lkn wadada hawataki kujibu kama na wao wanapata raha kwenye ku-do au la!! Maana wote wamekomaa na kugharimiwa! Kumbe wote siku hizi wanauza??? Halafu kwenye gemu wanadai 'wafikishwe' wao kwanza!! Yaani hawa viumbe ni wabinafsi balaa. Hivi wakiombwa wakubali huwa wamekubali nini?! Umekubali mwenyewe bado kutimiza kukubali kwako unaona ni haraka, wakati huohuo kutumia hela za mwanaume huoni ni haraka!!hapo na mimi ndiyo nashangaa, kama raha tunapata wote sasa ya nini kumuumiza mtu mmoja tu kwa gharama? ingependeza kama tungekuwa na gender equality hata kwenye mambo ya kunanihiii...yaani kila mtu achangie gharama. kama nikichangia guest na yeye achangie hata lunch au vice versa!!!!!
Mi sipendi kabisa..Unakutana na mdada, mnafahamiana kidogo, mnapeana namba za simu, mnapanga one day mkutane mpate lunch, mnakutana na mnapata lunch, then mnapanga one day mkutane kufumua amri ya sita......Mara demu anakueleza,....oh...sitaki nije na hizi nywele kesho, hivyo naomba unipe hela ya saluni...Yaani hata hatuja-do, unataka nikupe hela ya saluni...umeona mi n ATM machine?! acheni hizo bana mnatuboa!
Ukionekana demu wa mizinga mwanzoni kabisa mwa mahusiano unaboa sana na unajidhalilisha. Kwa nini usijizuie mpaka mida fulani ndio uanze hiyo mizinga?! Mi ukianza na mizinga nakupiga chini! Acheni hizo madada, mnatuboa mno!!
nife na wakati nilimkimbia.....???????we kenge kweli, utakufa kwa ukimwi.
Mi sipendi kabisa..Unakutana na mdada, mnafahamiana kidogo, mnapeana namba za simu, mnapanga one day mkutane mpate lunch, mnakutana na mnapata lunch, then mnapanga one day mkutane kufumua amri ya sita......Mara demu anakueleza,....oh...sitaki nije na hizi nywele kesho, hivyo naomba unipe hela ya saluni...Yaani hata hatuja-do, unataka nikupe hela ya saluni...umeona mi n ATM machine?! acheni hizo bana mnatuboa!
Ukionekana demu wa mizinga mwanzoni kabisa mwa mahusiano unaboa sana na unajidhalilisha. Kwa nini usijizuie mpaka mida fulani ndio uanze hiyo mizinga?! Mi ukianza na mizinga nakupiga chini! Acheni hizo madada, mnatuboa mno!!
mawazo yako mazuri kiasi fulani. sasa mbona kanaomba radhi eti nimekachunia halaf kanadai eti kama nilikaudhi basi nisahau yaliyopita nirudiane nako? kale kabinti inaonekana kalikurupuka na kwa sasa kanajuta maana kamepeperusha ndege mapema.Mnafahamiana kidogo TU mwenzetu unakurupuka na kutangaza ma-lunch tena isitoshe wanaume wa jinsi hii hutangazia lunch kwenye hoteli ya namna (flani), mwanadada wa watu kwanini asikuone ATM? Acha ushamba, ukiona mwanamke unajikombeleshea na soon anataka kukukamua jua ameshakuona zoba flan, hana inshu na wewe. anataka tu akuchomoechomoe ukereke uachie uzi mwenyewe. hiyo ndio tokazako ya kileo. Huyo anaye masudi wake..acha kuzuka, acha kuwaza kumwagilizia watu, OA...
Mi sipendi kabisa..Unakutana na mdada, mnafahamiana kidogo, mnapeana namba za simu, mnapanga one day mkutane mpate lunch, mnakutana na mnapata lunch, then mnapanga one day mkutane kufumua amri ya sita......Mara demu anakueleza,....oh...sitaki nije na hizi nywele kesho, hivyo naomba unipe hela ya saluni...Yaani hata hatuja-do, unataka nikupe hela ya saluni...umeona mi n ATM machine?! acheni hizo bana mnatuboa!
Ukionekana demu wa mizinga mwanzoni kabisa mwa mahusiano unaboa sana na unajidhalilisha. Kwa nini usijizuie mpaka mida fulani ndio uanze hiyo mizinga?! Mi ukianza na mizinga nakupiga chini! Acheni hizo madada, mnatuboa mno!!
Kufahamiana kidogo tu ukaomba gemu unaona sawa ila kuombwa hela ya salon una mind! Wa wapi wewe?
mawazo yako mazuri kiasi fulani. sasa mbona kanaomba radhi eti nimekachunia halaf kanadai eti kama nilikaudhi basi nisahau yaliyopita nirudiane nako? kale kabinti inaonekana kalikurupuka na kwa sasa kanajuta maana kamepeperusha ndege mapema.
mhhhhhh, una maana nikakapime akili hako ka-dada au mwenyewe npelekee ma-psychiatrists bichwa langu walichunguze? kwa nini nikapime au nikampime akili?Pole zako kaka, kapime akili something is wrong!
rotfl!mimi ata sina wasiwasi,akisema ela ya saluni nampa ila nikianza kumega,namega kila siku hadi nywele zinachakaa.