Akina dada acheni hizo bana! Mnaboa sana sometimes!

Akina dada acheni hizo bana! Mnaboa sana sometimes!

Mi sipendi kabisa..Unakutana na mdada, mnafahamiana kidogo, mnapeana namba za simu, mnapanga one day mkutane mpate lunch, mnakutana na mnapata lunch, then mnapanga one day mkutane kufumua amri ya sita......Mara demu anakueleza,....oh...sitaki nije na hizi nywele kesho, hivyo naomba unipe hela ya saluni...Yaani hata hatuja-do, unataka nikupe hela ya saluni...umeona mi n ATM machine?! acheni hizo bana mnatuboa!
Ukionekana demu wa mizinga mwanzoni kabisa mwa mahusiano unaboa sana na unajidhalilisha. Kwa nini usijizuie mpaka mida fulani ndio uanze hiyo mizinga?! Mi ukianza na mizinga nakupiga chini! Acheni hizo madada, mnatuboa mno!!
bado hujaombwa hela ya vocha na ukimtumia hata kukujulisha kuwa amepata au asante hakuna,mi nikiona demu kabeep simpigi kwani ukimpigia utapigwa mzinga,hata mimi hizi tabia zinaniuzi ukiona demu anakutafuta kwenye simu jua tu ni mzinga anata akupige,sijui hawaoni aibu hii tabia ya kuombaomba wanakuwa kama pros...........
 
i do this with pride dadangu,sababu mi ni mwanaume na kama nina weza fanya hicho kitu............sio kwasababu nataka kummega!yaani kwamba nakuwa nalipia huduma ya ngono pale!?ndo maana mi sijawahi attend to any invoice submitted immediately after 'game'(ambazo hata hivo ni chache mno).mitazamo mliyo nayo wengi wa dada zangu ni kama inahalalisha kutumiwa,pamoja na mfumo dume bana!nikitaka za hivo naenda kwa wauza sukari wenye kiwango kikubwa ambako nitapata pia value for money!acheni hizo bana

if that is the case kwa nini ulimtaka mdada wa watu ukijua kabisa kuna wauza sukari ambako kuna value for money? acha story za sizitaki mbichi hizi lol.
 
na nyie wanaume acheni tabia za kutongoza tongoza..kwani hamridhiki na mlivyo navyo? mkipigwa mizinga msilalamike banaaa
 
kweli inaboa,mi ishanitokea mara kibao tu,kuna mtoto mmoja nilimuaproach akaniambia anamchumba ila yupo nje ya nchi,akasema yuko tayari kuwa na mimi ila nitambue ana mchumba,nami nikakubali nikijua baaa ya mda nitamkoreza na atamsahau tu huyo mchumba ake,baada kama ya wiki moja hivi nikamuomba tukutane ili tulizindue penzi letu,akaniambia mbn una haraka hivyo?basi mi nikawa mpole,lakini baada ya siku mbili yeye akaniambia anaomba nimpatie 15000 eti mwele akasuke kimasai nikamwambia kwa sasa sina,alichonijibu ni kwamba kama huwezi kuhudumia acha wanaweza kuhudumia watumie,nami nikampotezea,coz yeye kuduu alisema bado mapema nisiwe na haraka nikamsikiliza,lakini yeye anataka pesa mbon hakuona kama nae ni haraka[/QUOTE]

HAPO KWENYE RED! YAN WE NI NOMA MSHIKAJI WANGU NAKUKUBALI MBAYA UMEMPATIA VIZURI.
yan midem mingine sijui vp kama hataki c aseme kuliko kujidhalilisha kwa kujinadi kama maembe sokoni,
et mpaka umhonge(umnunue) ndo akubali
kama vp mngejipanga sokoni tuwachague kama mbuzi wa mnadani wanavyofanyiwa tujue moja!
KUDADADEK!
 
aziniye na mwanamke hana akili kabisa. Anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
 
wewe gumegume yeye kipwepwelepwe yaani bilabila alikuona upo fasta katika kutangaza shida yako ndo maana nae akawa fasta katika kutangaza shida yake too bad
 
wewe gumegume yeye kipwepwelepwe yaani bilabila alikuona upo fasta katika kutangaza shida yako ndo maana nae akawa fasta katika kutangaza shida yake too bad<br><br>
 
sawa sawa!...lakn tafiti zinaonyesha hata walio kwenye ndoa wanaambukiza magonjwa.

Tafiti hatuzibishii lakini umejiuliza hao wa kwenye ndoa wanatoa wapi ugonjwa kama si huko kwa walio nje ya ndoa? Ngoja nikwambie ndugu yangu takwimu za watu wa kwenye ndoa zinapatikana kirahisi kwa sababu wake zao wakiwa wajawazito wanapimwa hayo magonjwa na vitu kama hivyo, sasa wa huko nje ya ndoa walio wengi mimba ikiingia plan za kuichoropoa inaanza, atapimwa saa ngapi na nani....... be careful ndugu yangu takwimu zisikulaaze usingizi.....
 
Mi sipendi kabisa..Unakutana na mdada, mnafahamiana kidogo, mnapeana namba za simu, mnapanga one day mkutane mpate lunch, mnakutana na mnapata lunch, then mnapanga one day mkutane kufumua amri ya sita......Mara demu anakueleza,....oh...sitaki nije na hizi nywele kesho, hivyo naomba unipe hela ya saluni...Yaani hata hatuja-do, unataka nikupe hela ya saluni...umeona mi n ATM machine?! acheni hizo bana mnatuboa!
Ukionekana demu wa mizinga mwanzoni kabisa mwa mahusiano unaboa sana na unajidhalilisha. Kwa nini usijizuie mpaka mida fulani ndio uanze hiyo mizinga?! Mi ukianza na mizinga nakupiga chini! Acheni hizo madada, mnatuboa mno!!
ok umoja kwann huwezi kutumia mana ww ndio waandika hapa huwezi jua kuna wanaume wengine bila kumfanyia ivo aona ka humpendi mm ni mwanamke nakuambia ivo sio wote wanaboreka kuambiwa ivo wapo wanaoona fahari mnoooooooooooo
back to point............pole ka amekuboa huyo au hao kama ulivosema ...........angalia na unaowatongoza kama umekutana naye rodini lazma akuambie ivo ila kama umemkutia home (mazingira safe i mean)kwao hawez kukupa mistari iyo so we mwenyewe tu na mitaa yako unayokatiza na kukutana nao
 
nawewe pia una haraka sana yaan KUMPA LUNCH TU NA KUOMBA GAME APO APO?
wewe pia ulikaa kigamae game tu na si mapenz thats y na yeye akaona bora apress plafoma mapema...yaan ukaona pesa ya lunch inatosha kabsa aende KUILIPIA?

ungeuchuna kdg ....uliwaisha kuomba game na yeye akaawaisha kukuomba pesa....
kwani kama ni gemu si tunafaidi wote? kwa nini mi ndio niingie gharama ya guest mpaka na gharama za kumpeleka saluni?
 
Wadada msikome tena zidisheni hata mkikonyezwa....ndio wakome wao
 
if that is the case kwa nini ulimtaka mdada wa watu ukijua kabisa kuna wauza sukari ambako kuna value for money? acha story za sizitaki mbichi hizi lol.

sis kweli kama ishu ni kumegana tu na 'kutembea' na tu-mizinga twa 15,000/= za vocha basi mi sijawahi katia manzi kwa lengo hilo pekee bana!kwamba yani ile unamfukuziaaaaaa afu anakutwangaaa vijihelaaa afu baadae anaenda kuvilipia kwa kutoa ile nguo ndogo kabisa!?sasa huyu si anauza tu dadangu,huoni hili!?ndo maana nikashauri dada zangu wasifanye hivo ilil walau kuwe na tofauti na wauza sukari maana huko ndo huulizi,unapangiwa bei kulingana na huduma unayotaka,unapiga ,unalipa,unasepa!haina heshima na kila kitu yaani!lakini huyu mwingine ina kuwa more of a comapnion,ni rafiki na vitu ka hivyo.one nite stands hazihusiki kwenye mtazamo wangu huu though.
 
Mtego wa Noti wa kikomo chako cha kuhonga ni pesa ngapi mkuu???
yaani akishakula lunch...malipo mengine nampa baada ya gemu..vinginevyo kama hataki kutoa mchezo baada ya lunch basi nakubali hasara..siwezi kula hasara zaidi ya mara moja.
 
mtajibeba... Starehe gharama we chatu. Tumia pesa ikuzoee.

hajibebi mtu bana,na 'mnapigika' kama kawa vile vile!tatizo hutu tu sharobaro mnatokutana nato calabash tumeshika black berry tatu za kichina na funguo za ki-bebi woka afu kananukia zile pafyum walizochakachua migomigo ndo tunatoharibu kwa kujaribu maisha ya kwenye L Mujer Der Mi Vida(dah,sijui hata ipi inabamba siku hiz).we unauziwa neno tu,unafika bei mwenyewe na with time unachapika na maisha yanaendelea kila mtu akiwa na heshima yake,yani freshi tu!
 
We umeombwa pesa ya saloon unapiga kelele namna hy, Je ukiombwa kodi ya nyumba ya mwaka si utakimbia! Tafuta Mchumba uoe.. ACHA UZINZI dogo...
 
Back
Top Bottom