Akina dada acheni hizo bana! Mnaboa sana sometimes!

Akina dada acheni hizo bana! Mnaboa sana sometimes!

I love this answer. Kwanza kakupa bill ndogo...ulikuwa unatakiwa utoe pesa ya taxi (au ya mafuta kama anadrive) pesa ya lingeries, kucha kope etc....msione vyaelea vimeundwa.

afu mwenyewe nimekamuka ile mbaya na tu-victoria secret na unasubiria yale mambo kwa hamu,huku kuna 'jambazi' lingine linasubiria kuvitoa vi-lingerie kwa meno mwilini wakati wa 'yale mambo yetu yale'....kudadadeki,hivi niliwezaje kuwa playboy mimi!!!?wallh sasa hivi siwezi,yani ndo nimegundua now now!!
 
Hii mada mbona imekaa kimfumo dume sana. Hivi nyie kinadada mnashabikia huyu jamaa atoe hela kwa sababu tu anataka game mna maana gani ? Kuwa kwenye game anayefaidika ni m/me peke yake??!! Acheni hizo bana kama mtu anataka mzigo mpe wote mfurahi na kama wewe unataka hela usitumie game kama sababu ya kupata mshiko unless kama unafanya ujasiriamwili ofcoz.
 
We umeombwa pesa ya saloon unapiga kelele namna hy, Je ukiombwa kodi ya nyumba ya mwaka si utakimbia! Tafuta Mchumba uoe.. ACHA UZINZI dogo...

atoe kodi ya nyumba kwani ye mwajiri!!?.........usitoe mdogo wangu unless umekutana na mjasiria-mwili na unadhani utapata thamani ya pesa unayotumia kwa huduma tarajiwa,huh!
 
Inategemea nani kamfuata mwenzie. Kuna wanawake wanamsoma mwanaume, wanajua hela inatoka, so wanajilengesha, wanatoa mzigo na ikiwezekana wanajifanya hata kugharamia vikitu fulani mwanzoni, then wakianza kukamua ela zinatoka kwelikweli...

Sasa wewe umemfuata mwanamke, unataka game, lazima uanze na kulipia weee, then akianza kukupa anakupa kwelkwel. the same to wanawake, unakuta mwingine ndo anajileta, alafu anataka tena ela kwanza! upuuzi. Unakuja, unataka ela then nishawishi kwanza na game... Sawa na ng"ombe, unataka maziwa, mlishe kwanza...
 
Wamezidi sana,mwingine atakuomba umrushie vocha na ukimrushia hasemi hata asante,
wengine siku zote full ku bip leo anataka ela ya saloon, kesho anaumwa,
na mara tu anapokueleza shida anataka uitekeleze haraka,hawana subira,.ukiona hivyo jua hupendwi kaka umegeuzwa Atm
 
Wewe kinachokusumbua ni ubahiri au kutokuwa nazo. Lazima kwanza ujiulize huyo binti wakati umemkaribisha lunch alipokuja amependeza na ukamtamani, hujui wenzako hapo wamegharimia? Kwa nini wewe ushindwe na wewe kumpendezesha na wenzako wamtamani?
sasa kama ningempa hiyo hela ya saluni halaf akasepa huoni kama ningekula hasara mara2? yaani lunch na saluni......ilitakiwa nimmege halaf ndio nimpe hela ya saluni, siyo hata kitu sijagusa eti nigharamie saluni....hapo sipo kabisa.....
 
kwani sex nafanya na ku-enjoy peke yangu bana!!!?it takes two to f.....ango!
hapo na mimi ndiyo nashangaa, kama raha tunapata wote sasa ya nini kumuumiza mtu mmoja tu kwa gharama? ingependeza kama tungekuwa na gender equality hata kwenye mambo ya kunanihiii...yaani kila mtu achangie gharama. kama nikichangia guest na yeye achangie hata lunch au vice versa!!!!!
 
hebu acha uchoyo! kabla yako mwekezaji aliyepita ndo alikua anafanya ukarabati wa nywele,ndo mtindo. Ungempa walau buku 2 akanyoe,muambie unapenda kiduku style,lol! hehehe,unanunua kiwanda kikuu kuu afu unajishaua kupiga rangi,utakoma! (nahisi jina linakuponza pia...)

100% acceptable nikipigwa mizinga baada ya ka-muda fulani, siyo eti very soon baada ya outing ya lunch unaongezea na mzinga wako, ina maana tusingekutana usingekarabati hizo nywele zako? inaboa kwa kweli!!!!!
 
lol! khabari yake kope za kununua! anaona vyaelea anajua mpira eeh? kwa kweli mwaka huu infidelity kwishnei. na kama ni kunijazia mafuta ajue kabisa lazma iwe zaidi ya full tank manake kuna magari ikiweka nusu tank inajaa upepo inaanza kuleta miss (ni ya kora nadhani haya,lol)
I love this answer. Kwanza kakupa bill ndogo...ulikuwa unatakiwa utoe pesa ya taxi (au ya mafuta kama anadrive) pesa ya lingeries, kucha kope etc....msione vyaelea vimeundwa.
 
atoe kodi ya nyumba kwani ye mwajiri!!?.........usitoe mdogo wangu unless umekutana na mjasiria-mwili na unadhani utapata thamani ya pesa unayotumia kwa huduma tarajiwa,huh!

Asilalamike, Atafute mchumba aoe.... Hiyo ndio mtaka cha uvunguni.....
 
Rejao hapo umenikuna sana. yaani eti mtu hata hujaonja chake utoe hela ya saluni na wakati yeye tayari alishatafuna vyako...lunch! halafu tatizo ni kuwa, hii kitu wote tunapata raha, kwa nn mtu mmoja ndiyo aingie gharama tu?!
Atoe kwanza gem ndio apate ya saloon based on her performance
 
Kama huwezi, Tafuta mchumba UOE....
sasa hata kama ni kuoa si lazima uonje kwanza? unaweza ukaoa ukashangaa unakuta mtu ana tundu la kukojolea tu....utafanya rewind? ndio nasema lazima kwanza uonje...
 
Mi sipendi kabisa..Unakutana na mdada, mnafahamiana kidogo, mnapeana namba za simu, mnapanga one day mkutane mpate lunch, mnakutana na mnapata lunch, then mnapanga one day mkutane kufumua amri ya sita......Mara demu anakueleza,....oh...sitaki nije na hizi nywele kesho, hivyo naomba unipe hela ya saluni...Yaani hata hatuja-do, unataka nikupe hela ya saluni...umeona mi n ATM machine?! acheni hizo bana mnatuboa!
Ukionekana demu wa mizinga mwanzoni kabisa mwa mahusiano unaboa sana na unajidhalilisha. Kwa nini usijizuie mpaka mida fulani ndio uanze hiyo mizinga?! Mi ukianza na mizinga nakupiga chini! Acheni hizo madada, mnatuboa mno!!

Tatizo ninaloliona ni kwamba, wanaume wengi hatuwafahamu wanawake na wanwake hawatufahamu wanaume. Zaidi ya miaka 2000 mwanaume alikuwa ni lunch na dinner chaser na mlinzi. Mwanamke alikuwa ni fruit collector na mtunza watoto. Mwanaume alikuwa anona ufahari na wajibu kuleta chakula nyumbani. Kwa kuleta huduma kama hiyo mwanamke kwa upande wake alikuwa anajua kuwa kuna security yake na ya watoto, kuwa wataishi. Sasa hali kama hiyo ndio tumeirithi mpaka sasa hivi. Mwanamke hata mpate kipato sawa yeye bado atakuomba tu hela. Hii sio kuwa ni katika kukuweka kama ni ATM ila hii ime kuwa kama ni urithi wa vizazi na vizazi. Na kwa namna hiyo kwa sasa japo wanaume hatuwindi tena porini na huenda ktk dunia ya sasa kuna wanaweke wengine wanakipato kikubwa kupita wanaume utaona bado wanawake wanaomba hela kutoka kwa wanaume. Hii ni moja ya ROMANCE .
Kwa mwanamme inatumia sekunde kumtaka mwanamke na ku DO, lakini kwa mwanamke inachukua mda marefu ku DO, kwanza lazima aangalie guarantee kama utaweza kutunza famila baada ya kupata watoto,lakini mwanamme yeye alichokuwa anaangalia ni kueneza ukoo wake kwa haraka sana na kwa mda mfupi
 
hajibebi mtu bana,na 'mnapigika' kama kawa vile vile!tatizo hutu tu sharobaro mnatokutana nato calabash tumeshika black berry tatu za kichina na funguo za ki-bebi woka afu kananukia zile pafyum walizochakachua migomigo ndo tunatoharibu kwa kujaribu maisha ya kwenye L Mujer Der Mi Vida(dah,sijui hata ipi inabamba siku hiz).we unauziwa neno tu,unafika bei mwenyewe na with time unachapika na maisha yanaendelea kila mtu akiwa na heshima yake,yani freshi tu!

hahahahahahaa nimecheka hadi basi....too true
 
Nilichofaidi kwenye hii sredi ni kwamba nimecheka sana!
 
Back
Top Bottom