Akina dada acheni hizo bana! Mnaboa sana sometimes!

hapo na mimi ndiyo nashangaa, kama raha tunapata wote sasa ya nini kumuumiza mtu mmoja tu kwa gharama? ingependeza kama tungekuwa na gender equality hata kwenye mambo ya kunanihiii...yaani kila mtu achangie gharama. kama nikichangia guest na yeye achangie hata lunch au vice versa!!!!!
Unajua ni ajabu hii sredi imefika hapa lkn wadada hawataki kujibu kama na wao wanapata raha kwenye ku-do au la!! Maana wote wamekomaa na kugharimiwa! Kumbe wote siku hizi wanauza??? Halafu kwenye gemu wanadai 'wafikishwe' wao kwanza!! Yaani hawa viumbe ni wabinafsi balaa. Hivi wakiombwa wakubali huwa wamekubali nini?! Umekubali mwenyewe bado kutimiza kukubali kwako unaona ni haraka, wakati huohuo kutumia hela za mwanaume huoni ni haraka!!
 
Mi sipendi kabisa..Unakutana na mdada, mnafahamiana kidogo, mnapeana namba za simu, mnapanga one day mkutane mpate lunch, mnakutana na mnapata lunch, then mnapanga one day mkutane kufumua amri ya sita......Mara demu anakueleza,....oh...sitaki nije na hizi nywele kesho, hivyo naomba unipe hela ya saluni...Yaani hata hatuja-do, unataka nikupe hela ya saluni...umeona mi n ATM machine?! acheni hizo bana mnatuboa!
Ukionekana demu wa mizinga mwanzoni kabisa mwa mahusiano unaboa sana na unajidhalilisha. Kwa nini usijizuie mpaka mida fulani ndio uanze hiyo mizinga?! Mi ukianza na mizinga nakupiga chini! Acheni hizo madada, mnatuboa mno!!

we kenge kweli, utakufa kwa ukimwi.
 
Mkuu bila kisu kikali huoni ndani asiyepeda kuliwa na yy hali toa mkuu akigeuka si unaachana naye
 
Mi sipendi kabisa..Unakutana na mdada, mnafahamiana kidogo, mnapeana namba za simu, mnapanga one day mkutane mpate lunch, mnakutana na mnapata lunch, then mnapanga one day mkutane kufumua amri ya sita......Mara demu anakueleza,....oh...sitaki nije na hizi nywele kesho, hivyo naomba unipe hela ya saluni...Yaani hata hatuja-do, unataka nikupe hela ya saluni...umeona mi n ATM machine?! acheni hizo bana mnatuboa!
Ukionekana demu wa mizinga mwanzoni kabisa mwa mahusiano unaboa sana na unajidhalilisha. Kwa nini usijizuie mpaka mida fulani ndio uanze hiyo mizinga?! Mi ukianza na mizinga nakupiga chini! Acheni hizo madada, mnatuboa mno!!

Mnafahamiana kidogo TU mwenzetu unakurupuka na kutangaza ma-lunch tena isitoshe wanaume wa jinsi hii hutangazia lunch kwenye hoteli ya namna (flani), mwanadada wa watu kwanini asikuone ATM? Acha ushamba, ukiona mwanamke unajikombeleshea na soon anataka kukukamua jua ameshakuona zoba flan, hana inshu na wewe. anataka tu akuchomoechomoe ukereke uachie uzi mwenyewe. hiyo ndio tokazako ya kileo. Huyo anaye masudi wake..acha kuzuka, acha kuwaza kumwagilizia watu, OA...
 
mawazo yako mazuri kiasi fulani. sasa mbona kanaomba radhi eti nimekachunia halaf kanadai eti kama nilikaudhi basi nisahau yaliyopita nirudiane nako? kale kabinti inaonekana kalikurupuka na kwa sasa kanajuta maana kamepeperusha ndege mapema.
 
Kufahamiana kidogo tu ukaomba gemu unaona sawa ila kuombwa hela ya salon una mind! Wa wapi wewe?
 
Mi sipendi kabisa..Unakutana na mdada, mnafahamiana kidogo, mnapeana namba za simu, mnapanga one day mkutane mpate lunch, mnakutana na mnapata lunch, then mnapanga one day mkutane kufumua amri ya sita......Mara demu anakueleza,....oh...sitaki nije na hizi nywele kesho, hivyo naomba unipe hela ya saluni...Yaani hata hatuja-do, unataka nikupe hela ya saluni...umeona mi n ATM machine?! acheni hizo bana mnatuboa!
Ukionekana demu wa mizinga mwanzoni kabisa mwa mahusiano unaboa sana na unajidhalilisha. Kwa nini usijizuie mpaka mida fulani ndio uanze hiyo mizinga?! Mi ukianza na mizinga nakupiga chini! Acheni hizo madada, mnatuboa mno!!

Ki ukweli ulitaka amuombe nani hela kama siyo wewe unayeenda kutafuna hilo apple? Hivi wewe kwa akili zako unataka akaombe hela kwa BF wake akija kwako kufanya ngono na wewe? Au wewe uombe hela kwe demu wako ya kumpeleka kidosho wako Lunch. You must be crazy!

Muwe na hofu na Mungu sometimes. By the way siku hizi wanaume mnapenda vya kunyongwa vya kuchinja hamuwezi! watch out guys!
 
Ennie bwana unanifurahisha kwelikweli! mi ni wahapahapa, sasa wewe mtu nimeshamtoa lunch ya nguvu, bado anataka na saluni nimpeleke, ina maana asingenipata asingeenda saluni? angekuwa na busara angesikilizia kidogo hata baada ya gem moja ndio akalipuka na mambo ya saluni. halaf kwani hata kama nimeomba gemu lkn si wote tunapata raha? ya nn kuanza kuingizana gharama ambazo ni personal zaidi?

Kufahamiana kidogo tu ukaomba gemu unaona sawa ila kuombwa hela ya salon una mind! Wa wapi wewe?
 
mawazo yako mazuri kiasi fulani. sasa mbona kanaomba radhi eti nimekachunia halaf kanadai eti kama nilikaudhi basi nisahau yaliyopita nirudiane nako? kale kabinti inaonekana kalikurupuka na kwa sasa kanajuta maana kamepeperusha ndege mapema.

Pole zako kaka, kapime akili something is wrong!
 
Wanawake wengine wamezidi kujirahisisha,yaani hata kusuka mpaka umuombe mwanamume??!! halafu uko tayari hata kutoa mwili wako,halafu wanaume wakituita majina mabaya tunalalamika,ndio maana hawaoi kwa sababu wanajua kwa fedha wanaweza kupata ngono saa yoyote wanayotaka.Wanawake tufanye kazi kwa bidii kwa ajili ya maendeleo huku tukiwa na moyo wa kiasi,vinginevyo ukiiendekeza nafsi,ukiolewa unaweza ukalala hata na bosi wa mume wako kisa ana dau kubwa,jua kwamba hela siku zote huwa hazitoshi,hata Bill Gates anaumiza kichwa kuziongeza zaidi,cha muhimu heshimu utu wako,kabla ya chochote.
 
Ncha ya mkuki haipigwi ngumi, na kina cha maji hakipimwi kwa kutia miguu yote kwenye maji!!!
 
ukitaka kula lazima uliwe yakheee......unataka ule then usepe bila kuliwa wewe hela ,,,,ha h aha
 
Back
Top Bottom