Akina dada acheni hizo bana! Mnaboa sana sometimes!


ahahahahaaaaaaaaaaa!..kamzinga ka vitoto vya shule za kata nako kakakutoa nduki mkuu,.....starehe gharama kiongozi wangu
 
Umenichekesha kweli we mtoa mada, we kalunch kamoja tu unataka mzigo? amekupatia kweli huyo mdada nimeipenda hiyo

in red, nikupe vingapi ili nijipumzishe kwako???
 

Mtego wa Noti wa kikomo chako cha kuhonga ni pesa ngapi mkuu???
 
Acha ushamba wewe 15000 kitu gani baana toa hiyo hela Alafu UNAMFUMUA KISAWASAWA ukimaliza unamwambia niko busy sana hatutoweza kuonana tena si umeshatwanga
 
Acha ushamba wewe 15000 kitu gani baana toa hiyo hela Alafu UNAMFUMUA KISAWASAWA ukimaliza unamwambia niko busy sana hatutoweza kuonana tena si umeshatwanga

Si mpaka akugee, nyi mwafikiri wanawake wote mwalimu wao kipofu ee kuna wengine wamekamilika
 
tatizo nyinyi vijana wa siku hizi mkionjeshwa asali tu hamuonekani tena kwahiyo kupigwa mizinga sio mbaya.
 
kweli inaboa,mi ishanitokea mara kibao tu,kuna mtoto mmoja nilimuaproach akaniambia anamchumba ila yupo nje ya nchi,akasema yuko tayari kuwa na mimi ila nitambue ana mchumba

Yuko nje ya nchi? Wewe nawe ukamwamini? Hiyo ni lugha nyingine ya kukwambia kuwa wewe ni spare tairi. Upo foleni yaani mpo wengi, lini utazielewa lugha za wadada mapepe/micharuko/mashauzi wewe? Aaaah
 
Starehe ghalama kaka JJ
 
mi nikimtaka demu siangalii gharama kabisa ilimradi nimpende,nitakula mzigo kwa vyovyote vile,hivi ndivyo akina dada walivyo
 
hawa watu me ndo nawaweza,nina technic kali sana za kuwamega bila hta senti5,mwisho wa siku me ndo napewa mkwanja nikapige supu!
Na ikitokea nimemdakisha kwanja kabla,trust me ipo siku ataurudisha mara 10 yake
Naomba shule na mimi niwe kama wewe, niwe nawamega bila mkwanja.
 
Zamani nilimtoa dada mmoja Dinner, pale maeneo ya
upanga kwenye Sekela, na Chips, wakati tunakula yule dada akawa ana piga simu kwao Ilala, anawambia msipike nakuja na chakula.

Si akawaambia tunataka take away, Chips Sekela x 3 mimi hapo kimoyo moyo nasema mwanzo na mwisho huyu dada hawezi kuniona tena, nakwenda kulipa anajifanya kucheka cheka, kujisemesha eti Thanx dear kwa outing!
 
mhh wenawe kupigwa plafoma ya saluni tu ndo kelele namna i?

ahh wewe bwna mpe mwenzako aende saluni ..na atakwambia stak nije na kucha izi so nipe elfu 50 ya kucha...na kope izi sztak nipe ela ya kope...

Kope si mungu alimpatia za ukweli? jamani jamani ipo siku watatuomba naomba hela nikaibadilishe hii kitu yangu niweke ya plastic.hahhahahahah
 
Ukipenda boga.........................?

Jikaze!
 
Wakuu, michango yenu hapa imenivunja mbavu mno!! Sasa mi naomba msaada wenu; Mbona mnavyomjibu mtoa mada na jj ni kama wao tu ndo watafaidi wakati wa ku do?! Baada ya hapa mtawadai hawa jamaa wakiwa na hao mabinti wawaridhishe wao kwanza kwenye 6 kwa 6 wakati kumbe wameshalipia?! Na je wadada wa hivo si ndo wakipiga mizinga wanakula kona?? Tumewahi kuona malalamiko hapa kuwa kuna wadada mkipeana namba za simu tu hata kabla hujaomba mechi mizinga na vibomu vinaanza, na hao mnasemaje???
Mkuu Chatu dume pole sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…