Akina dada kutusalimia ''shikamoo'' mnatuzeesha

Hahahaaa. Nyie mlijua kujiongeza sasa huyu mleta uzi kaona kujiongeza ni kuikataa shikamoo.

Mie najionea shikamoo haizuwii jambo hasa pale ukiwa na nia nalo.
 
Umri kama umesonga umesonga tu we pokea hizo shikamoo sababu wapo wanawake wanamaadili hawajui kumpa mtu mzima mambo lazima shikamoo ichukue nafasi yake.

Hivyo ukisalimiwa itikia na kama unataka mambo mengine jipange tu.
Yaani mtoto mrembo Kabisa, chuchu saa sita,halafu eti SHIKAMOO Kaka !!!!, haki ya Mama hivi Simjibu ng'ooo.
 
Nani aliyekwambia kuwa kuna Mzee mbele ya ninyi Viumbe adimu ??. Kujua km nimezeeka au sijazeeka, Njoo umuulize mke Wangu.
 
Uchoyo na roho mbaya tu, ni kama kunyimwa maji...
 
mbona kawaida isikutishe shikamoo inamaana anakupenda ukimtongoza unachukua kirahiisi wasichana zama hizi wanajua wazee hawasubui mpe penzi unastarehe hawataki wenzao wale wanaovaa nusu mlingoti au kwa msemo mwingine wamebanwa mavi anawahii choo
 
Ukishafikisha 35+ Na mavyakula yetu ya kuafrika sura lazima ishuke aijalishi ujinsia yako..so kubali kupokea salamu hiyo.
Hahahah..! Vitunguu vikiota hujaolewa jiandae kuolewa na mgane...![emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…