Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Nyie mlijua kujiongeza sasa huyu mleta uzi kaona kujiongeza ni kuikataa shikamoo.Kuna my x namzidi miaka kama 4 tu ananiamkia shikamoo wakati nimemvua pichu for 4 years consecutively, sijui sababu kaolewa?
Kisanga kingine.
Enzi hizo tunaishi kwa baba, mimi na ndugu yangu tukapanga geto mtaa wa tatu ili kufanyia mambo ya siri huko. Baba mwenye nyumba ana kitoto kizuri kinaibukiaibukia, miaka 16/7 hivi body morphology a.k.a structure inavutia akawa anatumwagia shikamoo kaka nyiingi. Tukawazaa huyu tumnyamazishe vipi!!
Tukaanza kumwangalia rangi anazopenda, kumbe anaipenda rangi ya yeboyebo fastaa tukaingia dukani tukanunua pichu kadhaa za njano. Ilikuwa siku kama 2 baada ya birthday yake tukafunga vizuuri, tukampa na maneno kadhaa you know sikuwepo kwenye birthday yako lakini zawadi yako hii hapa....., nduuuki home tukasubiri kesi ya kumceduce dent, ikawa kimya. Kumbe kafuraahi mpaka mwisho.
Basi ikawa hivyo, basi tu busara ziliturudi, hatukutenda tulichokusudia.
Mie najionea shikamoo haizuwii jambo hasa pale ukiwa na nia nalo.