Akina dada kutusalimia ''shikamoo'' mnatuzeesha

Akina dada kutusalimia ''shikamoo'' mnatuzeesha

Kuna my x namzidi miaka kama 4 tu ananiamkia shikamoo wakati nimemvua pichu for 4 years consecutively, sijui sababu kaolewa?

Kisanga kingine.
Enzi hizo tunaishi kwa baba, mimi na ndugu yangu tukapanga geto mtaa wa tatu ili kufanyia mambo ya siri huko. Baba mwenye nyumba ana kitoto kizuri kinaibukiaibukia, miaka 16/7 hivi body morphology a.k.a structure inavutia akawa anatumwagia shikamoo kaka nyiingi. Tukawazaa huyu tumnyamazishe vipi!!
Tukaanza kumwangalia rangi anazopenda, kumbe anaipenda rangi ya yeboyebo fastaa tukaingia dukani tukanunua pichu kadhaa za njano. Ilikuwa siku kama 2 baada ya birthday yake tukafunga vizuuri, tukampa na maneno kadhaa you know sikuwepo kwenye birthday yako lakini zawadi yako hii hapa....., nduuuki home tukasubiri kesi ya kumceduce dent, ikawa kimya. Kumbe kafuraahi mpaka mwisho.
Basi ikawa hivyo, basi tu busara ziliturudi, hatukutenda tulichokusudia.
Hahahaaa. Nyie mlijua kujiongeza sasa huyu mleta uzi kaona kujiongeza ni kuikataa shikamoo.

Mie najionea shikamoo haizuwii jambo hasa pale ukiwa na nia nalo.
 
Umri kama umesonga umesonga tu we pokea hizo shikamoo sababu wapo wanawake wanamaadili hawajui kumpa mtu mzima mambo lazima shikamoo ichukue nafasi yake.

Hivyo ukisalimiwa itikia na kama unataka mambo mengine jipange tu.
Yaani mtoto mrembo Kabisa, chuchu saa sita,halafu eti SHIKAMOO Kaka !!!!, haki ya Mama hivi Simjibu ng'ooo.
 
Sasa mtu unamiaka arobaini unataka uambiwe mambo na mtoto wa miaka ishirini na umri huo si umri wa mtoto wako...au ndio uzee mwisho chalinze.ha ha haaaaa ujue kuna watu wanaukwepa uzee hatariii.

Tena una miaka arobaini+ na bado unataka uitwe kaka aiseeh
Nani aliyekwambia kuwa kuna Mzee mbele ya ninyi Viumbe adimu ??. Kujua km nimezeeka au sijazeeka, Njoo umuulize mke Wangu.
 
mbona kawaida isikutishe shikamoo inamaana anakupenda ukimtongoza unachukua kirahiisi wasichana zama hizi wanajua wazee hawasubui mpe penzi unastarehe hawataki wenzao wale wanaovaa nusu mlingoti au kwa msemo mwingine wamebanwa mavi anawahii choo
 
Ukishafikisha 35+ Na mavyakula yetu ya kuafrika sura lazima ishuke aijalishi ujinsia yako..so kubali kupokea salamu hiyo.
Hahahah..! Vitunguu vikiota hujaolewa jiandae kuolewa na mgane...![emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom