agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Hata huyo ni mume pia..Hahahah..! Vitunguu vikiota hujaolewa jiandae kuolewa na mgane...![emoji125][emoji125][emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huyo ni mume pia..Hahahah..! Vitunguu vikiota hujaolewa jiandae kuolewa na mgane...![emoji125][emoji125][emoji125]
Hi Dada...Maneno si ndio hayo sasa. Hahahaaaa.
Shikamoo haizuwii kitu.
Niambie mdogo wangu uko poa?Hi Dada...
Wa afya dada ...za masikuNiambie mdogo wangu uko poa?
Poa tu mdogo wangu. Nipo mwaya napambana tuWa afya dada ...za masiku
Eewaaa !!!!, kumbe wewe umenielewa barabaraah !!!!.Point yake, hata kama kagonga 50 ,aitwe tu kijana wa zamani, neno kijana lisikosekane
Wanaume hatuzeeki !!!, Kiuno kinapiga kazi hadi naingia kaburini.Wakataa shkamoo wakati sura inakusuta
Nipo sawa na wewe.Umri wako ni ngapi???
Sikujibu, halafu nasikia wewe ni Mtoto wa Ukweli.Hivyo nitakujibu kwa pm.Shikamoo Mkuu
MarahabaShikamoo Mkuu
Mimi siipendi. Inafanya mtu uonekane Mzee na hasa km anayekusalimia mnakaribiana sana Umri au anakuzidi. Lkn pia kwa hawa Viumbe wetu wazuriiii, SHIKAMOO sio mahala pake.Uhusiano wa kupewa shikamoo na kuzeeka ni upi?? ukiitikia marahaba ndio unazeeka??
Mbona mimi wananisalimia tu na sizeeki ?
Hahaha unahisi kama hautazoeana nae fasta?Mimi siipendi. Inafanya mtu uonekane Mzee na hasa km anayekusalimia mnakaribiana sana Umri au anakuzidi. Lkn pia kwa hawa Viumbe wetu wazuriiii, SHIKAMOO sio mahala pake.