Akina dada kutusalimia ''shikamoo'' mnatuzeesha

Mi sina tatizo na Shikamoo, ila iwe kwa Kiingereza.

Ama sivyo naweza kuuliza "unataka kuninyima nini?"
 
Uhusiano wa kupewa shikamoo na kuzeeka ni upi?? ukiitikia marahaba ndio unazeeka??

Mbona mimi wananisalimia tu na sizeeki ?
 
Mimi siipendi. Inafanya mtu uonekane Mzee na hasa km anayekusalimia mnakaribiana sana Umri au anakuzidi. Lkn pia kwa hawa Viumbe wetu wazuriiii, SHIKAMOO sio mahala pake.
 
Hahaha unahisi kama hautazoeana nae fasta?
 
Back
Top Bottom