Akina dada punguzeni kujirahisisha

Akina dada punguzeni kujirahisisha

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,476
Reaction score
11,659
Wanawake wenzangu wengine mnatia aibu, jijengeeni msimamo na stara kujistiri ni jukumu lako wewe ushafunua uchi wako kwa hata wasio wapenzi wako ukiombwa gemu kishkaji wala huna hiyana mtoto wa kike unatoa tu.

Unapangilia mpaka wanaume kumi hata kama hao wanaume watakufichia siri bado utadhalilika tu, imagine binti mtaa mzima unaoishi wanajua papuchi yako ikoje, pindo la chupi yako mpaka alama zote huko sirini.

Siku ukaamua kuolewa nusu ya wanaume kwenye ukumbi wanajua uchi wako ukoje, wanampa mkono wa pongezi mumeo huku moyoni wanamdis "umeamua kuchukua jumla si tushagonga sana hapo" hakuna alokufa kwa nyege, kuna njia mhadala za halali kujipatia riziki lakini sio kwa kudanga, unatoa mpaka njia ya haja kubwa kwa ajili ya iphone.

TULIZA KIPAPA CHAKO!
 
Wewe mleta mada unatuharibia ujue... Acheni uchoyo na nyie

Cc,.. Miss Chaga
 
Na design hizo ukimuuliza kabla ya mimi ulishakuwa na wangapi, utasikia wewe wa pili baada ya boyfriend wangu wa kwanza aliyenitoa bikra. Kumbe uchi unajua tupu nyingi kuliko hata idadi za haja ndogo alizokwenda.
[emoji23] anakujibu huku nafsi inamsutaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuh nimecheka hatar!!!!!
 
Na design hizo ukimuuliza kabla ya mimi ulishakuwa na wangapi, utasikia wewe wa pili baada ya boyfriend wangu wa kwanza aliyenitoa bikra. Kumbe uchi unajua tupu nyingi kuliko hata idadi za haja ndogo alizokwenda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom