Akina Dada wa JF kuweni na huruma basi

Akina Dada wa JF kuweni na huruma basi

Nyie kina dada muoneeni huruma huyu fundi wajameni! Hebu mfuateni pm walau mmuombe hata pesa za lunch, salon, shopping nk!
Mkuu me nmekusapoti ila wakija tuletee mrejesho
Wadada kibao wamejaa mtaani akikosa humu awatafutee hao wa mtaani wapo ,yeye mwenywe tu ashindwee kwa uzito wake
Afu sio huluka ya wadada wa kibongo kuwafuata mwanaume.
Mwanaume nenda PM myajenge!!!
 
Wadada kibao wamejaa mtaani akikosa humu awatafutee hao wa mtaani wapo ,yeye mwenywe tu ashindwee kwa uzito wake
Afu sio huluka ya wadada wa kibongo kuwafuata mwanaume.
Mwanaume nenda PM myajenge!!!
kupiga story tu mpaka mfuatwe kweli hata ww ukijisikia kupiga story na FB(fundi bishoo) c uju pm sio mpka mi nkufuate afu wengi pm mmefunga
 
natumaini mu wazima
kama heading inavyosema hapo juu wakina Dada wa jf kuweni na huruma hata kidogo basi haiwezekani hata Siku mkaniamulia kuja pm kupiga story na mm ? kwani tuna ugomvi wowote wakina Dada naomba mnijibu

#YunGteMpEr
YES bishoo haswaaaaa
Kumpata mdada wa kupiga nae story tu bila kumpa mpa vipesa ni ngumu kwa karne hii.Mtapiga story siku ya kwanza na siku hiyo hiyo atakupiga mzinga, ukichomoa tu kesho yake harudi tena, utamtumia sms mpaka utachoka mwenyewe hajibu
 
. ndo
maana nimemtumia SMS hajanijibu chochote kumbe yuko busy na jux Mara chibu dangote
 
Back
Top Bottom