Akina Dada wa JF kuweni na huruma basi

Akina Dada wa JF kuweni na huruma basi

natumaini mu wazima
kama heading inavyosema hapo juu wakina Dada wa jf kuweni na huruma hata kidogo basi haiwezekani hata Siku mkaniamulia kuja pm kupiga story na mm ? kwani tuna ugomvi wowote wakina Dada naomba mnijibu


#YunGteMpEr
YES bishoo haswaaaaa
Itabid utangaze bonus kwa wa5 wa mwanzo kuja pm mkuu
 
Yani nilivyoona heading tu ya huu uzi kabla sijau view nikajua maada lazima itakuwa ni kuwalalamikia madada wa humu Jf kwanini hawajibu message tunazo watumia Pm,? Hili suala limeshakuwa wimbo wa taifa la Jf,
kweli mkuu wengine tunapenda kupiga nao story lkni wanakausha
 
Hahahaaa. Kama mie nisamehe bure jamaani maana ni mvivu wa story acha tu.😜😜😜

Pia nauliza hizo story huko chumbani unataka uvumbue nini Mkuu?
tupeane madeal michongo company pia kufarijiana ushauri ni mkuu
 
Back
Top Bottom