Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hapana mkuu mm ni dume rijaliNa wewe si ni mdada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu mm ni dume rijaliNa wewe si ni mdada
anasema yy dume tena rijaliNa wewe si ni mdada
Hahaha thibitisha udume wako.Hapana mkuu mm ni dume rijali
Basi ngoja nije PM chap, utakuepo?Madorali kama yote
Hahaha thibitisha udume wako.
daah angenipa hata buku ningmshukuru sanaPesa kwake c tatizo anaweza kukugawia pesa hata wewe
Itabid utangaze bonus kwa wa5 wa mwanzo kuja pm mkuunatumaini mu wazima
kama heading inavyosema hapo juu wakina Dada wa jf kuweni na huruma hata kidogo basi haiwezekani hata Siku mkaniamulia kuja pm kupiga story na mm ? kwani tuna ugomvi wowote wakina Dada naomba mnijibu
#YunGteMpEr
YES bishoo haswaaaaa
Wewe c ulisema unaweza gharamia...panda dau sasa hapo...unatakiwa week end Dodoma uwe na gari na ela ya matumizi😂😂daah angenipa hata buku ningmshukuru sana
Muone umle nani, mi ndio naweza kukutafunaNithibitishe ili nikukule au
kweli mkuu wengine tunapenda kupiga nao story lkni wanakaushaYani nilivyoona heading tu ya huu uzi kabla sijau view nikajua maada lazima itakuwa ni kuwalalamikia madada wa humu Jf kwanini hawajibu message tunazo watumia Pm,? Hili suala limeshakuwa wimbo wa taifa la Jf,
nishazoea dadaangu asantePole
Hahahaaa. Kama mie nisamehe bure jamaani maana ni mvivu wa story acha tu.😜😜😜
Mmh mmh mmh.Nyie kina dada muoneeni huruma huyu fundi wajameni! Hebu mfuateni pm walau mmuombe hata pesa za lunch, salon, shopping nk!
Mkuu me nmekusapoti ila wakija tuletee mrejesho
Nakazia Dada.Wanakuja mkuu
tupeane madeal michongo company pia kufarijiana ushauri ni mkuuHahahaaa. Kama mie nisamehe bure jamaani maana ni mvivu wa story acha tu.😜😜😜
Pia nauliza hizo story huko chumbani unataka uvumbue nini Mkuu?
Mmh. Hapa hadharani haiwezekani eee?tupeane madeal michongo company pia kufarijiana ushauri ni mkuu
Swahiba mambo ya mjini haya, tunakwenda kwa alama za nyakatiMmh mmh mmh.
Waende Pm kwa ajili hiyo tu. Duuh.
Wewe sio mdada?