Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Hapo ndo pa muhimu mnoUna helaa
Una helaa
kumbuka hela sina ni kupiga story jameni
Wadada kibao wamejaa mtaani akikosa humu awatafutee hao wa mtaani wapo ,yeye mwenywe tu ashindwee kwa uzito wakeNyie kina dada muoneeni huruma huyu fundi wajameni! Hebu mfuateni pm walau mmuombe hata pesa za lunch, salon, shopping nk!
Mkuu me nmekusapoti ila wakija tuletee mrejesho
Angekuwa nazo mbn mm fasta tu mastory kama yoteHapo ndo pa muhimu mno
kupiga story tu mpaka mfuatwe kweli hata ww ukijisikia kupiga story na FB(fundi bishoo) c uju pm sio mpka mi nkufuate afu wengi pm mmefungaWadada kibao wamejaa mtaani akikosa humu awatafutee hao wa mtaani wapo ,yeye mwenywe tu ashindwee kwa uzito wake
Afu sio huluka ya wadada wa kibongo kuwafuata mwanaume.
Mwanaume nenda PM myajenge!!!
ujue kuchati na mm unaweza ukapata baraka ya pesa lakiniAngekuwa nazo mbn mm fasta tu mastory kama yote
utakuja saa ngapi na ww??Wanakuja mkuu
Kumpata mdada wa kupiga nae story tu bila kumpa mpa vipesa ni ngumu kwa karne hii.Mtapiga story siku ya kwanza na siku hiyo hiyo atakupiga mzinga, ukichomoa tu kesho yake harudi tena, utamtumia sms mpaka utachoka mwenyewe hajibunatumaini mu wazima
kama heading inavyosema hapo juu wakina Dada wa jf kuweni na huruma hata kidogo basi haiwezekani hata Siku mkaniamulia kuja pm kupiga story na mm ? kwani tuna ugomvi wowote wakina Dada naomba mnijibu
#YunGteMpEr
YES bishoo haswaaaaa
. ndoKumpata mdada wa kupiga nae story tu bila kumpa mpa vipesa ni ngumu kwa karne hii.Mtapiga story siku ya kwanza na siku hiyo hiyo atakupiga mzinga, ukichomoa tu kesho yake harudi tena, utamtumia sms mpaka utachoka mwenyewe hajibu
Huyo unayetaka kumpa baraka ya pesa ye huwa ndo anatoa ofa za pesa humuujue kuchati na mm unaweza ukapata baraka ya pesa lakini
Nimekwambia wanakuja mm ni dume mkuu tena rijaliutakuja saa ngapi na ww??
kivipi yaani? em nidadavulie kidogo mkuuHuyo unayetaka kumpa baraka ya pesa ye huwa ndo anatoa ofa za pesa humu
ndukiiiiiiiiiNimekwambia wanakuja mm ni dume mkuu tena rijali
Kama sh ngpUna helaa
Madorali kama yoteKama sh ngp
Na wewe si ni mdadaWanakuja mkuu
Pesa kwake c tatizo anaweza kukugawia pesa hata wewekivipi yaani? em nidadavulie kidogo mkuu