Akina Gwajima na Luhaga mpina wapo wengi ila wanapinga kimyakimya

Akina Gwajima na Luhaga mpina wapo wengi ila wanapinga kimyakimya

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Hili halina ubishi kuwa sasa kuna kundi kubwa wanaopinga kimyakimya huu utawala huu ambao haujali maisha ya Watanzania

Nidhamu ya woga haipo na ufisadi umetamami kila kona huku wananchi hawana uhakika wa kula hata mlo mmoja

Akina Luhaga mpina wapo wengi . Akina Gwajima wapo wengi ila wamekaa kimya sababu ya uoga
 
Ngoja majina ya ubunge yarudi
 
Back
Top Bottom