Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Mmh nyie wanawake nyie mbona kama vile sasa mnamtetea huyo dada? Nieleweni jamani, mimi simhitajiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Haya maneno mwambie sasa tena kwa ukakamavu....sio yanaishia hapa jamvini!!