mitishamba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 697
- 111
Nimekaa sehemu najaribu kuifukuza wikiendi. Mara anatokea mama mmoja mtu mzima hivi takribani wa miaka 50. Japo amekwenda age lakini anaonekana amenona pengine kutokana na matunzo. Akakaa karibu ya meza niliyokaa mimi.
mavazi sasa...!
Amevaa kipedo cheupe chepesi...basi nguo ya ndani yote ipo nje...na jinsi alivyoumbika yaani ni balaa tupu.
Yaani nililewa japo nilikuwa ndo kwanza naanza na kabia ka kwanza.
Yaani nikimkumbuka yule mama, nabaki wima.
Sasa hivi unavaaje? Kama ni kile nlichokukuta nacho pale break point....... usije kucheza na mimi!Isije ikawa ulishamvua mama wa watu nguo kwa hako kabia..ha ha
Watu wabishi, hamna anayependa uzee..ila nikifika umri kama huo, mavazi nayo nitabadili!!
Sasa hivi unavaaje? Kama ni kile nlichokukuta nacho pale break point....... usije kucheza na mimi!
hata ungalikuwa ni wewe lazima ungalipagawa, yaani si mchezo...kweli ng'ombe hazeeki maini.Isije ikawa ulishamvua mama wa watu nguo kwa hako kabia..ha ha
Watu wabishi, hamna anayependa uzee..ila nikifika umri kama huo, mavazi nayo nitabadili!!
kwa kweli nilinasa...lakini nusu!Mtego wake ulinasa?
mbona makwapa yapo nje? napenda harufu yake.Aku babu, nimebadilika sivai zile pedo tena. Siku hizi navaa kama hapo chini unavyoniona..Usinikimbie sasa!
kama nimeona nisiseme?Fata kilichokupeleka. Mambo ya Ngoswe kuitwa Ngoswe mwachie Ngoswe mwenyewe.
sijalalamika, nime-share what i saw!unapenda lakini bado unalalamika..
Asee yule bibi, acheni tuanayetoka na sistaduu huitwa brothermen {sharobaro} je' anayetoka na bibi huitwaje? muagizie yakwake Ili asiondoke usije ukaboreka.....
Kwani sisi si binadamu?Aiseeeeeeeeeeee!.....hata kweyu wapo.
Kwani sisi si binadamu?
hata ungalikuwa ni wewe lazima ungalipagawa, yaani si mchezo...kweli ng'ombe hazeeki maini.
mbona makwapa yapo nje? napenda harufu yake.