Akina mama siku hizi....mitego tupu!

Akina mama siku hizi....mitego tupu!

mitishamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
697
Reaction score
111
Nimekaa sehemu najaribu kuifukuza wikiendi. Mara anatokea mama mmoja mtu mzima hivi takribani wa miaka 50. Japo amekwenda age lakini anaonekana amenona pengine kutokana na matunzo. Akakaa karibu ya meza niliyokaa mimi.

mavazi sasa...!
Amevaa kipedo cheupe chepesi...basi nguo ya ndani yote ipo nje...na jinsi alivyoumbika yaani ni balaa tupu.
Yaani nililewa japo nilikuwa ndo kwanza naanza na kabia ka kwanza.

Yaani nikimkumbuka yule mama, nabaki wima.
 
Isije ikawa ulishamvua mama wa watu nguo kwa hako kabia..ha ha

Watu wabishi, hamna anayependa uzee..ila nikifika umri kama huo, mavazi nayo nitabadili!!
 
Sasa hivi unavaaje? Kama ni kile nlichokukuta nacho pale break point....... usije kucheza na mimi!
 
Aku babu, nimebadilika sivai zile pedo tena. Siku hizi navaa kama hapo chini unavyoniona..Usinikimbie sasa!
african%20women%20elegant%20dresses.jpg
 
Fata kilichokupeleka. Mambo ya Ngoswe kuitwa Ngoswe mwachie Ngoswe mwenyewe.
 
Isije ikawa ulishamvua mama wa watu nguo kwa hako kabia..ha ha

Watu wabishi, hamna anayependa uzee..ila nikifika umri kama huo, mavazi nayo nitabadili!!
hata ungalikuwa ni wewe lazima ungalipagawa, yaani si mchezo...kweli ng'ombe hazeeki maini.
 
anayetoka na sistaduu huitwa brothermen {sharobaro} je' anayetoka na bibi huitwaje? muagizie yakwake Ili asiondoke usije ukaboreka.....
 
Aiseeeeeeeeeeee!.....hata kweyu wapo.
 
Weeeeeee!!!! nani alikuambia utazame huko. Au ulitaka? usione sooooo.
 
hata ungalikuwa ni wewe lazima ungalipagawa, yaani si mchezo...kweli ng'ombe hazeeki maini.

Mimi naona zile castle lite ulizokuwa unazinywa zilihamisha mawazo yako kwa yule mama. Akili ikawaza visivyotakiwa kuwaziwa kwa muda ule. Ulitakiwa umwamkie shikamoo na kutomuangalia morphology yake.

mbona makwapa yapo nje? napenda harufu yake.

Yanapata upepo yakhe..unapenda harufu yake hata kama nimepaka limao?? heeee
 
Back
Top Bottom