Akina mama siku hizi....mitego tupu!

USIONE VINAELEA, VIMEUNDWA!!!!!!!! Tafuta nawe uunde.
Kwa nini niunde wakati tayari vipo vilivyoundwa....ndo mana tunaendesha magari yaliyotengenezwa na wajapani, ndege za wamarikani..............
 
Dah! Kweli umepania, usisahau kuja kutusimulia ladha utakayokutana nayo

 
Thank yuuu dearest babu! Nimeumbika na ninajitunza mwaego..
Halafu hebu futa hizo damu hapo midomoni...baada ya hapo njoo nikupeleke kwa daktari wangu akutibie maana madaktari wenu wote wamegoma.
 
Mavazi ni jambo la kawaida; inategea wewe umetembea kiasi gani, jaribu kutembelea club za Kampala ndo utajua kuwa ulichoona ni cha kawaida. Mimi niliyaona hadi nikayazea na sasa hayanisumbui kabisa. Miaka kama 10 hivi iliyopita ndo nilikuwa naangaishwa na mavazi ya wanawake.
 
suala sio mavazi bali maumbile, mavazi yenyewe yamechangia tu kuonesha kilicho ndani.
Afterall mimi sipo kampala.

Kingine, hivi umeiona hiyo signature yako?
 
pole sana....ni wazi alikukwaza sana....vipi uliweza hata kuongea nae mawili matatu?
ndo naenda kumrushia mawili matatu mana nimeambiwa kuwa kila siku yupo pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…