SSMashinji
Senior Member
- Aug 10, 2023
- 129
- 191
sasa kama leseni zinatolewa vichocholoni unataka akague gari anajua nn humo mwishoe limripukieDaah baadhi ya hawa wenzetu ni changamoto sana kwenye utunzaji vyombo vya usafiri hasa gari ya nyumbani.
Wanachokijua ni kuwasha gari na kutoka nalo mkuku.
Maadam wese lipo yeye anachojua ni kuwasha gari na kusepa.
Huko mabarabarani saivi wao ndo wanaongoza kwa mbio na hapo hana habari barabara ina hali gani yeye maadam anaona gari inatembea basi ni kanyaga twende. Mabonde mawe madimbwi yeye anafukia tu.
Sasa mzee unarudi unakamata usukani unashangaa gari inavopiga makelele utafikiri ina chekeche huko chini.
Yeye hana habari sanasana nayeye anashangaa utafikiri gari ilikuwa inaendeshwa na mtu mwingine kabisa.
Daah[emoji22] inaboa sana wakuu
