stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Aisee ni kweli kabisa,na kama mna watoto hakawii kuwasakizia au kukusakizia wewe mwenyewe.Wanaponifurahisha wanayoshika usukani basi,macho mbele utafikiri kaona korongo,cha kushangaza akifika kwenye shimo analiingia mazima...ikiharibika sasa anaruka mita mia na wala hataki kusikia hela yake inaenda kutengeneza vyuma[emoji1787]