Akinamama na utunzaji wa usafiri (gari)

sasa kama leseni zinatolewa vichocholoni unataka akague gari anajua nn humo mwishoe limripukie
 
Kuna mambo mawili uyafanye. La kwanza mfundishe chombo cha moto kinavyotakiwa kitunzwe. Ajue gari linapoleta mlio usio wa kawaida au mwendo wake hauko sawa akuambie ama amuone fundi.

Pili uwe na kawaida ya kulitumia kila baada ya muda fulani ili usikie kuanzia mngurumo wake,linakuweje ukiendesha kwenye makorongo. Sevice iko sawa.

Bila ya kufanya hivyo utakuwa unagharamia kwa ukubwa kwenye spare. Ksbb gari ni sawa na mwili wa binadamu. Gari ukisikia mlio usio wa siku zote au mngurumo usio wa kawaida. Labda inaweza kuwa rack end imezingua kama bado unaendesha hivyo bila kuibadirisha itaenda kuua tie rod end. Baadae ball joint*. Ndivyo gari lilivyo
 
Gari ya mwaume unaweza ikuta chafu kupitiliza kwa nje ila ndani safi sana. Gari za wenzetu sasa nje safi ingia ndani, utakuta mifupa ya kuku ya juzi, mabaki ya chips, maganda ya machungwa mpaka kibobo chenye mikojo ya tokea wiki iliopita
THE BROKER Kumbe magari wanayoendesha, interior huwa yana uchafu sana?
 
Gari ya mwaume unaweza ikuta chafu kupitiliza kwa nje ila ndani safi sana. Gari za wenzetu sasa nje safi ingia ndani, utakuta mifupa ya kuku ya juzi, mabaki ya chips, maganda ya machungwa mpaka kibobo chenye mikojo ya tokea wiki iliopita
Na chupi, makeup na vesti aise wanaliwa sana humo kwenye magari yao
 
Kila kitu akishatumia anatupia ndani,mifuko ya karanga,pipi,choclate,michanga kibao yani magari yao ukiingia ndani tofauti na alivyopendeza akitoka kwenye gari...
 
Changamoto sana ,hao ni lazima uwaongoze kufanya mambo otherwise engine itakaangwa.
 
Kwa kweli kwenye swala Zima la kutunza gari ni mtihani

Muendelee kutuwekea tarehe za kucheck gari na kufanya services na muwaambie hao mafundi zikifika watupigie sim tupeleke gari kwa services

Tuvumiliane tuu kwa hili
 
usikute anamuachiaga mchepuko aendeshe.
 
Gari ya mwaume unaweza ikuta chafu kupitiliza kwa nje ila ndani safi sana. Gari za wenzetu sasa nje safi ingia ndani, utakuta mifupa ya kuku ya juzi, mabaki ya chips, maganda ya machungwa mpaka kibobo chenye mikojo ya tokea wiki iliopita
Umesahau viatu pair zisizopungua mbili 🤣
 
Sasa mzee unarudi unakamata usukani unashangaa gari inavopiga makelele utafikiri ina chekeche huko chini.
Ongezea anaweka na mziki mkubwa J Melody na yule wa Aunt Ezekiel wakuitwa Kusah sijui Mnyakyusa ndio wanapenda sana nyimbo zake hapo Hana habari ni kukanyaga Wese tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…