Aisee ni kweli kabisa,na kama mna watoto hakawii kuwasakizia au kukusakizia wewe mwenyewe.Wanaponifurahisha wanayoshika usukani basi,macho mbele utafikiri kaona korongo,cha kushangaza akifika kwenye shimo analiingia mazima...ikiharibika sasa anaruka mita mia na wala hataki kusikia hela yake inaenda kutengeneza vyuma[emoji1787]
Hawajui kuangalia oil wala maji
Hahahaha π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Maji na oil tunaangaliaga mara moja japo ingine oil na maji ya waipa π π€£
Ila huko sijui gari kugongagonga, sijui vinini vya kubadilisha sijui kuosha injini tumeshashindwaga
Tena pesa ya service inatuumaga balaaa yaani mimi nikiiwazia najisemea kwanza Sina mizunguko ya mbali... hii pesa ngoja nikanunue kwanza vitu vya jikoni na watoto na baba π
Kwenye buti ndio dample kabisakwanini wanakuwa hivi?
Kwasababu gani sasa magari hawayaweki masafi ndani? THE BROKERKwenye buti ndio dample kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maji na oil tunaangaliaga mara moja japo ingine oil na maji ya waipa [emoji1] [emoji1787]
Ila huko sijui gari kugongagonga, sijui vinini vya kubadilisha sijui kuosha injini tumeshashindwaga
Tena pesa ya service inatuumaga balaaa yaani mimi nikiiwazia najisemea kwanza Sina mizunguko ya mbali... hii pesa ngoja nikanunue kwanza vitu vya jikoni na watoto na baba [emoji38]
Nafikiri ni asili yao tu kuwa hivyo wachafu na ile dhana ya kupenda kufanyiwa kila kitu. Wao wamezoea kuagiza tu na sio kufanya. Mfano wa house girl na Boss wake MmamaKwasababu gani sasa magari hawayaweki masafi ndani? THE BROKER