Akinisamehe nitalala five stars hotel kwa wiki kujipooza

Prof Janabi wa JF

Senior Member
Joined
Jul 7, 2023
Posts
189
Reaction score
490
Niko bar hapa wanapiga kuachwa! kuachwa! Kuachwa ni shughuli pevu. Miezi kadhaa tulikuwa na mipango ya kutafuta eneo la kupumzika kwa muda kidogo. Tuliangalia maeneo mengi mazuri il ndio hivyo nimekula za uso.

Aisee huyu mrembo akisema turudiane, lazima niende sehemu sijawahi kwenda ili tuanze upya malavidavi. Mama yangu najua unaijua ID hii. Nasubiri kuona tunaendelea na nitafanya yote niliyoahidi hapo sasa ikitokea safari ya mbali sitaenda mwenyewe lazima niwe nawe kila sehemu.

Akikubali tu, nitakuja kuuliza hoteli nzuri ya kulala nikatulie kidogo kubabake. Oi wahuni, nimependa aisee
 
🎤🎤umesemajeeee?
 
Hujui wanawake wewe, the fear of facing realities have killed wanaume wengi sana! Hakuna mwanamke mwenye ujasiri wa Kuacha mwanaume ambaye Hana mwanaume anayefikiri ni Bora!
 
cocastic ujue hii ni ajira mlongo?
Ngati kumyenga yenga mdala ba haaapa, mwenyee baambo huyu yuko siliaz weeenga!
 
Unayempenda hakupéndi na anayekupénda humpendi, ndo mapenzi yalivyo
 
Niko bar hapa wanapiga kuachwa! kuachwa! Kuachwa ni shughuli pevu. Miezi kadhaa tulikuwa na mipango ya kutafuta eneo la kupumzika kwa muda kidogo. Tuliangalia maeneo mengi mazuri il ndio hivyo nimekula za uso.

Aisee huyu mrembo akisema turudiane, lazima niende sehemu sijawahi kwenda ili tuanze upya malavidavi. Mama yangu najua unaijua ID hii. Nasubiri kuona tunaendelea na nitafanya yote niliyoahidi hapo sasa ikitokea safari ya mbali sitaenda mwenyewe lazima niwe nawe kila sehemu.

Akikubali tu, nitakuja kuuliza hoteli nzuri ya kulala nikatulie kidogo kubabake. Oi wahuni, nimependa aisee
Kila siku humu hua tunatoa ushauri, mwanaume, mwanamke mpe hela usimpe moyo wako. Kumpa mwanamke moyo wako ni sawa na kucheza kamari, tena kamari ambayo odds ziko 90-2.

Mwanamke anapewa hela, sio moyo. Sasa ona unavyohangaika, unapata msongo wa mawazo bila sababu za msingi. Hapo huwezi kua na concentration ya kufanya jambo lolote la maana.

Pole sana mkuu.
 
Hivi utakuwa mwanaume kweli kabisa?

Mwanaume unalilia papuchi hizi papuchi hizi zingine zinanuka uchambuo tu 🤣
Tunapaswa tujitafakari kama tunastahili kuwa wanaume

Kwa huyu mwenzetu anapaswa kuperekwa porini mpaka aue simba ndiyo arudi mjini
 
Nimekusamehe kipenzi 😥🥺

Haya nitumie pesa ya shopping 🛍️
Then njoo home direct
Si unajua nyumba yangu km 5 ⭐️ hotel

Njoo mubaba wangu na mi nimekumiss mwaya 😔😊
Tuogelee kwenye swimming pool, tuimbe mabata madogo madogo yanaogelea bila viatu 😝
 
Back
Top Bottom