Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 189
- 490
🎤🎤umesemajeeee?Niko bar hapa wanapiga kuachwa! kuachwa! Kuachwa ni shughuli pevu. Miezi kadhaa tulikuwa na mipango ya kutafuta eneo la kupumzika kwa muda kidogo. Tuliangalia maeneo mengi mazuri il ndio hivyo nimekula za uso.
Aisee huyu mrembo akisema turudiane, lazima niende sehemu sijawahi kwenda ili tuanze upya malavidavi. Mama yangu najua unaijua ID hii. Nasubiri kuona tunaendelea na nitafanya yote niliyoahidi hapo sasa ikitokea safari ya mbali sitaenda mwenyewe lazima niwe nawe kila sehemu.
Akikubali tu, nitakuja kuuliza hoteli nzuri ya kulala nikatulie kidogo kubabake. Oi wahuni, nimependa aisee
Niko bar hapa wanapiga kuachwa! kuachwa! Kuachwa ni shughuli pevu. Miezi kadhaa tulikuwa na mipango ya kutafuta eneo la kupumzika kwa muda kidogo. Tuliangalia maeneo mengi mazuri il ndio hivyo nimekula za uso.
Aisee huyu mrembo akisema turudiane, lazima niende sehemu sijawahi kwenda ili tuanze upya malavidavi. Mama yangu najua unaijua ID hii. Nasubiri kuona tunaendelea na nitafanya yote niliyoahidi hapo sasa ikitokea safari ya mbali sitaenda mwenyewe lazima niwe nawe kila sehemu.
Akikubali tu, nitakuja kuuliza hoteli nzuri ya kulala nikatulie kidogo kubabake. Oi wahuni, nimependa aisee
Kila siku humu hua tunatoa ushauri, mwanaume, mwanamke mpe hela usimpe moyo wako. Kumpa mwanamke moyo wako ni sawa na kucheza kamari, tena kamari ambayo odds ziko 90-2.Niko bar hapa wanapiga kuachwa! kuachwa! Kuachwa ni shughuli pevu. Miezi kadhaa tulikuwa na mipango ya kutafuta eneo la kupumzika kwa muda kidogo. Tuliangalia maeneo mengi mazuri il ndio hivyo nimekula za uso.