donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
- Thread starter
- #41
Aah ***** ulimwenguNa Mimi nitumie hiyo peni uliyoandikia huu Uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah ***** ulimwenguNa Mimi nitumie hiyo peni uliyoandikia huu Uzi
Ngumu hiyo veepethawathawa!jtatu ngumu hii
Hahaaaakuna watu ndio zao aisee yaani anaweza kuona kavideo au kapicha aka react kwa kucheka au kusema Nitumie mm hua nawaambia niko mbali na Wakala
Unachukuaje???Mi nazichukua tu hata siombi
We ni baba wa dharau kweli . itabidi na mimi niige hiyo Dharau umenifurahisha sanabinafsi niliamuaga "" rasmi " kutokuwa na angalia status za watu " kabisaaa na nimeweza kufaulu katika hilo "" wabongo wajinga sana "
mtu yupo radhi awe anafuatilia Whatsaap status zako lakini anashndwa hata kukutumia text ya salamu""
so kwa kuwa mimi ndiye baba wa dharau zao ...nimeamua kutoangalia kabisaaa...status za yeyote "". ili wajue kuwa sinaga muda wa kumfuatiliaga mtu ...
hahahaa mkuu" hiyo id name yako inafaa kabisa kuwa na dharau kama hzi ...."" Mimi sitakagi ujinga ujinga "" .....We ni baba wa dharau kweli . itabidi na mimi niige hiyo Dharau umenifurahisha sana
Kwanini ngumu swaumu kali au?thawathawa!jtatu ngumu hii
Basi nitakuwa sikuombi mama mkweHata mm huwa nakereka
Basi nitakuwa sikuombi mama mkwe
Hauta ona tena mama mkwe ila iyo uliyoiweka sahivi nitumieHahahaha bora ba mkwe usiniombe huwa sipendi mm
Nipigie...nitumie!
Mwenye nataka kufanya kitu hyo.binafsi niliamuaga "" rasmi " kutokuwa na angalia status za watu " kabisaaa na nimeweza kufaulu katika hilo "" wabongo wajinga sana "
mtu yupo radhi awe anafuatilia Whatsaap status zako lakini anashndwa hata kukutumia text ya salamu""
so kwa kuwa mimi ndiye baba wa dharau zao ...nimeamua kutoangalia kabisaaa...status za yeyote "". ili wajue kuwa sinaga muda wa kumfuatiliaga mtu ...
fanya mkuu"" gentleman " siku zote hawafungamani na ujinga ""....Mwenye nataka kufanya kitu hyo.
Hata mm huwa nakereka