Akiona video kwenye status za WhatsApp, utasikia "nitumie"

binafsi niliamuaga "" rasmi " kutokuwa na angalia status za watu " kabisaaa na nimeweza kufaulu katika hilo "" wabongo wajinga sana "
mtu yupo radhi awe anafuatilia Whatsaap status zako lakini anashndwa hata kukutumia text ya salamu""
so kwa kuwa mimi ndiye baba wa dharau zao ...nimeamua kutoangalia kabisaaa...status za yeyote "". ili wajue kuwa sinaga muda wa kumfuatiliaga mtu ...
 
We ni baba wa dharau kweli . itabidi na mimi niige hiyo Dharau umenifurahisha sana
 
Kama unaona ni msumbufu wa 'nitumie hiyo' si kachange Status Privacy unam-unselect kwenye list ya watakaoona status zako!..
Mbona simple tu!.
 
binafsi niliamuaga "" rasmi " kutokuwa na angalia status za watu " kabisaaa na nimeweza kufaulu katika hilo "" wabongo wajinga sana "
mtu yupo radhi awe anafuatilia Whatsaap status zako lakini anashndwa hata kukutumia text ya salamu""
so kwa kuwa mimi ndiye baba wa dharau zao ...nimeamua kutoangalia kabisaaa...status za yeyote "". ili wajue kuwa sinaga muda wa kumfuatiliaga mtu ...
Mwenye nataka kufanya kitu hyo.
 
Mi pia nataka niache kabisa kuangalia,, kuna watu wanajimaliza kwenye status ,,,tangia anaamka mpaka analala anapost,,,haha.

Aliniboa mmoja kaweka status afu kaandika "umbeya tu kuview status za watu" nilim mute hapo hapo,,,ila ntaacha kabisa kuangalia kuanzia leo
 
Back
Top Bottom