William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Aibu yako hii1. Atawatumia wachezaji waliopo bila shida. Kama alimtumia chasambi na balua hawa atawapeleka
2. Takwimu zinambeba kuwa na matokeo makubwa mno kila akiachiwa timu kuliko kocha yeyote wa nje.
3. Anaijua vizuri Simba kwa sasa.
4. Try Again hayupo. Ambaye kila Ajira ni dili kwake simba.
Naomba matola asipewe ata mechi moja ni Fadlu Mtupu kiistoria.
Bado yupo yupo sana. Hata aje Enzo Maresca wa Chelsea na wasaidizi wake wote; bado Matola atabakia kama kocha msaidizi.Eeh kwani Matola bado yupo Simba??