Akiondoka usimpokee tena! Hiyo ni sumu ya taratibu, bado hajajifunza lolote

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Wanawake wengi huchukulia huruma ya wanaume kama udhaifu, wengi wanaume wamefilisiki kufa kushindwa maisha kwa huruma wakijinga nina marafiki wengi wanajutia maamuzi yao walio fanya kwa kuongozwa huruma kwa ma ex wao.

Usiwe mjinga wakufikilia kwamba huyu ambae amerudi katika maisha yako karudi kwa mapenzi au kujutia alio fanya, wengi hurudi kwasbabu mambo hayajaenda kama alivo panga na kutegemea, anarudi kwako kwasababu ana kuona we ni Fala wakutafutia unafuu wa maisha, kule aliko enda pamegonga mwamba,

Kumbuka huyu ni mtu ulio mkuta na meno 32 tayari, sio kwamba amerudi kwasbabu anamapenzi nawewe au anakuthamini sanaa kuliko wengine kamwe usidanganyike.

Ameshwa tumikishwa vya kutosha Uhuru aliokua anaulilia haukuzaa matunda amekosa ulinzi, matunzo nk ndoa ni ngumu kwao akiwa ndani ni adimu sana akiwa unaitafuta, usimpokee kama aliondoka mara ya kwanza ataondoka tena haja badilika tabia amerudi sio kukujenga ila kukutumia kwa mipango yake.

We mwanaume jifunze kwamba mwanamke anae ondoka kwa ajili ya faida zake sio rahisi kujutia kitendo chake anarejea kwako baada ya kuona kwamba alichokua anafikiri sio, mitaani ni pangumu sanaa, sio kweli kwamba anatafuta mapenzi kwako laa anafuta kutumia mapenzi kubebwa ajalibishe tena mara ya pili.

Kabla hujamrudisha jiulize haya masuali:

1. Kwanini aliondoka mara ya kwanza.
2. Anasababu za kujiueleza kwanini aliondoka atarudisha je maumivu ilio pitia wakati ule
3. Kaongezeka thamani yoyote baada ya kuondoka au ndo imeshuka zaid anarudisha tu shida zako kwako?

Kupokea singo maza kama huyu haitakusaidia tena badala ndo utakua mwanzo wa anguko lako la milele hawezi kukujenga mwana mke anae penda mme hawezi kuondoka kwasababu kuna mbadala wa maisha sehemu nyingine, mke anae kupenda kwa dhati hata maisha yakiwa magumu kiasi gani ata kuvumilia mda wote atakuthamini ata kuheshimu atakutunzia siri hatakujaribisha nk.

Nb.
Komesheni hao masingo maza kwa kutowapokea tena, ili waache hizo tabia zao za kudanga danga kwa kutafuta 'Green pasture' else where, kwa kujificha kwenye mapenzi
Screenshot_20241217-144425_Facebook.jpg
 
Mkuu sasa mbona umeweka-
picha yake?

Mbona kama mguu ndani,
mguu nje?
Kivip mkuu mguu ndani mguu nje, epuka kuenseshwa kwa hisia na tamaa za mwili ni za mda mfupi ila madhara ni ya kudumu.
 
Mkuu ulitendwa? Watu wengi wanaumizwa na hao viumbe ila hajifunzi, kuna jama Angu ndo kagundua kwamba Mimba alio lea baada ya kumpokea tena sio ya kwake, kumbe alirudi na mimba changa sana.....
Ninapenda sana jinsi Mondi Platinumz pamoja na 50 Cents wanavyowa treat hizi nyau kama takataka. Hit and Run ndio imeisha hiyoo..
 
Wanawake wengi huchukulia huruma ya wanaume kama udhaifu, wengi wanaume wamefilisiki kufa kushindwa maisha kwa huruma wakijinga nina marafiki wengi wanajutia maamuzi yao walio fanya kwa kuongozwa huruma kwa ma ex wao.

Usiwe mjinga wakufikilia kwamba huyu ambae amerudi katika maisha yako karudi kwa mapenzi au kujutia alio fanya, wengi hurudi kwasbabu mambo hayajaenda kama alivo panga na kutegemea, anarudi kwako kwasababu ana kuona we ni Fala wakutafutia unafuu wa maisha, kule aliko enda pamegonga mwamba,

Kumbuka huyu ni mtu ulio mkuta na meno 32 tayari, sio kwamba amerudi kwasbabu anamapenzi nawewe au anakuthamini sanaa kuliko wengine kamwe usidanganyike.

Ameshwa tumikishwa vya kutosha Uhuru aliokua anaulilia haukuzaa matunda amekosa ulinzi, matunzo nk ndoa ni ngumu kwao akiwa ndani ni adimu sana akiwa unaitafuta, usimpokee kama aliondoka mara ya kwanza ataondoka tena haja badilika tabia amerudi sio kukujenga ila kukutumia kwa mipango yake.

We mwanaume jifunze kwamba mwanamke anae ondoka kwa ajili ya faida zake sio rahisi kujutia kitendo chake anarejea kwako baada ya kuona kwamba alichokua anafikiri sio, mitaani ni pangumu sanaa, sio kweli kwamba anatafuta mapenzi kwako laa anafuta kutumia mapenzi kubebwa ajalibishe tena mara ya pili.

Kabla hujamrudisha jiulize haya masuali:

1. Kwanini aliondoka mara ya kwanza.
2. Anasababu za kujiueleza kwanini aliondoka atarudisha je maumivu ilio pitia wakati ule
3. Kaongezeka thamani yoyote baada ya kuondoka au ndo imeshuka zaid anarudisha tu shida zako kwako?

Kupokea singo maza kama huyu haitakusaidia tena badala ndo utakua mwanzo wa anguko lako la milele hawezi kukujenga mwana mke anae penda mme hawezi kuondoka kwasababu kuna mbadala wa maisha sehemu nyingine, mke anae kupenda kwa dhati hata maisha yakiwa magumu kiasi gani ata kuvumilia mda wote atakuthamini ata kuheshimu atakutunzia siri hatakujaribisha nk.

Nb.
Komesheni hao masingo maza kwa kutowapokea tena, ili waache hizo tabia zao za kudanga danga kwa kutafuta 'Green pasture' else where, kwa kujificha kwenye mapenziView attachment 3178807
Nipe namba ya hii pisi
 
Back
Top Bottom