Pre GE2025 Akishinda Mbowe Chadema itakuwa na fedha bila Wapiga Kura na akishinda Tundu Lissu Chadema itakuwa na Wapiga Kura bila fedha, chaguo ni lako!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Upo sahihi ndiyo maana CCM wanataka ashinde Mbowe
 
Hawaoni kuwa wakimchagua mbowe watapata kura chache sana, watashangaa ACT kitakuwa chama cha pili kwa kupata kura nyingi
 
Ruzuku ya CDM inawafaidisha akina nani!? Kwa hiyo hata ikipata pesa za rushwa wanufaika wakubwq watakuwa ni watu hao hao.

Ni heri kupata heshima kwa njia za kiutu na kiungwana, kuliko kutafuta heshima kwa njia ya rushwa. Ni heri kuchagua heshima ya kiutu kuliko kununuliwa kwa vipande vya pesa.

Wajumbe wa Mkutano Taifa kazi wanayo. Ama waende na timu ya Mbowe-Wenje ama ile ya Lissu-Heche.

The best thing is to be SMART and not CLEVER.
 
Branding ya Chadema ni nini? Fedha au Nguvu ya umma?
 
Mbowe huiba pesa za chama anajimilikisha kwa kuzitakatisha kwa visingizio kuwa alikuwa kakikopesha chama Madeni hewa kuharalisha wizi wake
 
Wanachama ni hazina tosha kabisa ambayo inaweza kutumika kuleta fedha.
 
Mbowe anatumia pesa nyingi kununua uenyekiti kwa hofu ya kuumbuka madudu wizi wake endapo ataingia mwenyekiti mpya, kamati yake ya Roho mbaya ikiongozwa na Mdee, Boniface, sugu na wenye wanahaha saa 24 kila kumdhoofisha Lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…