Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Ndio akina nani hao?😁Mazezeta ya Lumumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio akina nani hao?😁Mazezeta ya Lumumba.
Kweni nimemnukuu nani?Ndio akina nani hao?😁
Yaani hata hujui uliyemnukuu? Kwa hiyo wewe ni zezeta uliyekubuhu.😂Kweni nimemnukuu nani?
Soma comment #10Yaani hata hujui uliyemnukuu? Kwa hiyo wewe ni zezeta.😂
Upo sahihi ndiyo maana CCM wanataka ashinde MboweHuo ndio Ukweli' Bila Freeman Mbowe Chadema lazima ianze kutembeza Kikapu cha Sadaka kama enzi za Padre Slaa
Na bila Tundu Lissu Chadema hainaga Wapiga Kura Kabisa yaani October itabidi wamtafute Lowassa mwingine CCM aje na Watu wa kuwapigia kura Wagombea Ubunge kama enzi za Dr Mollel na Cecil Mwambe
CCM this time imewaweka Chadema Katika mazingira magumu Mno 😄
Ahsanteni Sana
Kama washauri wake ni Ntobi na Yeriko, basi CHADEMA ni chama cha kijinga snTAL anatosha,
FAM amepitwa na muda sasa, apumzishwe tu
Yeriko na Ntobi wanaishi kwa kumtegemea MboweChadema ilipofikia haiwezi kukosa pesa mkuu za kukiendesha chama ,hata mzee mgaya anajua, ni propaganda za machawa wa Mbowe
Kwanza chama kina ruzuku, pia Mbowe kutoa fedha lazima awe Mwenyekiti?Watu ni fedha.
Mtoa mada penye wengi hapaharibiki jambo. Watu ndiyo mtaji wa frdha
Unazunguka zunguka kama mtu aliyepandwa na kiwewe😁Soma comment #10
ni wapuuzi sanaYeriko na Ntobi wanaishi kwa kumtegemea Mbowe
Swali zuri sana hili mkuuKwanza chama kina ruzuku, pia Mbowe kutoa fedha lazima awe Mwenyekiti?
Ruzuku ya CDM inawafaidisha akina nani!? Kwa hiyo hata ikipata pesa za rushwa wanufaika wakubwq watakuwa ni watu hao hao.Huo ndio Ukweli' Bila Freeman Mbowe Chadema lazima ianze kutembeza Kikapu cha Sadaka kama enzi za Padre Slaa
Na bila Tundu Lissu Chadema hainaga Wapiga Kura Kabisa yaani October itabidi wamtafute Lowassa mwingine CCM aje na Watu wa kuwapigia kura Wagombea Ubunge kama enzi za Dr Mollel na Cecil Mwambe
CCM this time imewaweka Chadema Katika mazingira magumu Mno 😄
Ahsanteni Sana
Wanachama ni hazina tosha kabisa ambayo inaweza kutumika kuleta fedha.Huo ndio Ukweli' Bila Freeman Mbowe Chadema lazima ianze kutembeza Kikapu cha Sadaka kama enzi za Padre Slaa
Na bila Tundu Lissu Chadema hainaga Wapiga Kura Kabisa yaani October itabidi wamtafute Lowassa mwingine CCM aje na Watu wa kuwapigia kura Wagombea Ubunge kama enzi za Dr Mollel na Cecil Mwambe
CCM this time imewaweka Chadema Katika mazingira magumu Mno 😄
Ahsanteni Sana
Mbowe yupo after money Lisu yupo kwa ajili ya demokrasia na kuwatetea wananchiBranding ya Chadema ni nini? Fedha au Nguvu ya umma?
Chama kikiwa na watu waadilifu pesa zitakuja zenyewe toka sehemu mbalimbali ulimwenguniWanachama ni hazina tosha kabisa ambayo inaweza kutumika kuleta fedha.