MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Mwanachama Maarufu hapa JamiiForums anayeongoza kwa Kuchukiwa bila sababu yoyote ila amebarikiwa Vingi na Mwenyezi Mungu aitwae GENTAMYCINE akitoka BAN yake apewe Heshima yake ya Kipekee hapa JamiiForums.
Mwanachama huyu ( GENTAMYCINE ) kwa muda wa Wiki nzima kabla ya Mechi ( Derby ) ya Simba na Yanga alisema ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kuwa Yanga SC itafungwa na Simba SC na Kweli Simba SC jana Kafungwa.
Mwanachama huyu ( GENTAMYCINE ) katika moja ya Uzi wake alituhakikishia hapa kuwa anaona Yanga SC Kufungwa Goli nyingi na Simba SC ila anaziona Goli 2 kwa 0 kama Yanga SC wakijitahidi Kuyapunguza na kweli Yanga SC ikafungwa idadi hiyo hiyo ya Magoli.
Hata Mimi MINOCYCLINE nisifiche huyu Jamaa ( GENTAMYCINE ) simpendi na Yeye anajua hilo ila najiuliza huyu Jamaa ana Baraka gani kwani akitabiri Kitu kwa 90% kitatokea lakini tunajitahidi Kutwa Kumchukia, Kumkashifu, Kumdhalilisha huku mara kwa mara tukimuombea BAN kwa Moderators ambao nao hutupa Ushirkiano kwa kumpa BAN haraka ila bado tu anakuwa Mtu maarufu kutuzidi na hata akiwa BAN ( Kifungoni ) bado anaendelea kuwa Gumzo na sehemu Kuu ya Mjadala hapa JamiiForums.
au Kumchukia Kwetu Kutwa hapa JamiiForums ndiko Baraka zake Kuongezeka?
Alichotabiri Kimetokea hiyo Jana.