Akitoka BAN apewe Heshima yake JamiiForums kwani kwa 100% alichokisema Kimetokea Jana

Popoma acha kujishtukia. Wanaokusifia wote humu jukwaani, ni mapopoma tu kama ulivyo wewe
 
Sijui ni kwanini Mimi, Wewe na Wengine tunamchukia kweli hapa JamiiForums ila Kutwa hatuachi Kumfuatilia, Kumjadili na Kumpaisha Kiumaarufu bila ya Sisi Mizuzu ( Mipumbavu ) iliyokubuhu hapa kujua.
naona umehamisha hela upande wa pili ilhali mtu ni yule yule
 
Naona unajitekenya kisha unacheka mwenyewe ukitoka ban ukajitibie kwanza matatizo ya akili
 
Sijui ni kwanini Mimi, Wewe na Wengine tunamchukia kweli hapa JamiiForums ila Kutwa hatuachi Kumfuatilia, Kumjadili na Kumpaisha Kiumaarufu bila ya Sisi Mizuzu ( Mijha ) iliyokubuhu hapa kujua.
Pole sana. Unahangaika sana kujipaisha ila watu wanakujua tu kwa IDs zako. Tatizo lako mfupi sana unatafuta attention. Hizi zinakusaidia nini maishani? Utoto mwingi sana dogo.
 
sema ulichotabiri masna wewe ni gentamycine
 
Du
Duh,Be.Genta we kiboko!
 
Simba kushinda haukuwa utabiri bali uhalisia hivyo si habari, kila mwanasima alijua fika kwamba Yanga hamna timu mule, bila bahasha kwenye karibia mechi 3 hivi ubingwa angeusikia tu kwa watu.

So kichapo kilikuwa ni halali yake.
 
Simba SC baba lao, Simba SC nguvu moja tunasonga mbele
 
Ha ha haa!
Mutu moya huyu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Yaani unajisifia mwenyewe Mungu kakujaalia kipaji Cha ujinga hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…