Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mataga bhana, wanasema eti kalipa watu, mara boda boda wamelipwa!
Hivi ni nani asiyetaka kuuona ukuu wa Mungu kupitia kwake?
Ni nani ataacha kumpa kura Lissu?
yeah.... tupo wengi tu kwenye kundi hilo!Hata CCM tunamkubali na tutampa kura
Jamaa mjanja kaanza na kanda ya ziwaSafi sana,
Jiwe alizuia shughuri za kisiasa za vyama vya upinzani tangu 2015.Ni ccm pekee iliyokuwa inafanya siasa,sasa kampeni zimeanza,ndani ya wiki tu,ccm na jiwe wameuona mziki wa TL,mishuzi inawatoka tu,wanafungia vyombo vya habari kila siku,sasa imagini,upinzani wangekuwa wanafanya kampeni tangu 2015!Hari ingekuaje?
Jiwe hawezi siasa,ni kiongozi wa vitendo,namsifu kwa Hilo,ila anakosea sana,akidhani yeye ndie pekee anayejua watz milioni 55,wanataka nini,
Tukiwa njiani kwenda kuhutubia maelfu ya watu Tarime na Bunda ghafla tukavamiwa na halaiki hapa Busega Simiyu.
Bado safari inaendelea.
Sirro atakuja sasahivi na kauliHapo Nzi wa kijani wanachukia
Muwe makini sana na hao watu wenye kijani, unaweza kuta wakajificha kwenye magorofa au juu ya miti wakisubiri kupata upenyo wa kumtungua Lissu.
Tumuulize @biayetu ambaye sasaivi anatumia ID ya johnthebaptistNatamani kurudi CCM nikaunge juhudi maana waunga juhudi ghafla wametoweka na ukame umekuwa mkubwa.